Mhitaji wa chumba au nyumba maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Mhitaji wa chumba au nyumba maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Eneo linauzwa lina fremu mbele na nyumba kwa nyumba, maeneo ya mbuyuni JKT ..... milioni 50 .....0671220233
 

Attachments

  • VID-20261006-WA0000.mp4
    16.4 MB
wakuu kuna chumba masta mbili,
Chumba single moja, Fremu nne za biashara!
Ndani ya fensi! Eneo lina fesi barabara ya mtaa ukubwa wake kama square meters 300,
Panauzwa Milioni 47..... maeneo ya kunduchi kituo JKT kama unaenda Tegeta,

Kiwanja location ndio Huwa Inamata sio ukubwa..0671 220233..

Kule kodi ya chumba masta jiko Quality ni Laki mbili sasaivi, pana value kubwa kwasasa....
 
Habari wakuu,

Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, maeneo ya Afrikana, mbuyuni, Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.

Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.

Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.

Cont:+255672324777​
Moderator nataka ku edit namba kwenye hii thread yangu hakuna option ya kufanya editing! Kwann?
 
wakuu kuna chumba masta mbili,
Chumba single moja, Fremu nne za biashara!
Ndani ya fensi! Eneo lina fesi barabara ya mtaa ukubwa wake kama square meters 300,
Panauzwa Milioni 47..... maeneo ya kunduchi kituo JKT kama unaenda Tegeta,

Kiwanda location ndio Huwa Inamata sio ukubwa..0671 220233..

Kule kodi ya chumba masta jiko Quality ni Laki mbili sasaivi, pana value kubwa kwasasa....
Eneo lina chanagmoto gani, mbona mali unauza kwa bei ya kutupa hivyo?
 
Eneo lina chanagmoto gani, mbona mali unauza kwa bei ya kutupa hivyo?
Mkuu sio kila nyumba inayouzwa panakuwa na changamoto ya eneo labda kujaa maji au mgogoro,
watu Wana matatizo ya Kila aina hapa duniani,na kimfaacho mtu chake! Mwenyewe ni mtu mzima na mstaafu yupo mkoani, amehamua kiuuza wanaoishi hawalipi kodi na wasumbufu,so kahamua auze akawekeze huko alipo
 
Back
Top Bottom