Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 479
- 1,084
Oyah maeneo ya boko naweza pata room ya laki na nusu chumba na sebule
Oyah maeneo ya boko naweza pata room ya laki na nusu chumba na sebule
Mmh! Labda nikuulizie mkuuOyah maeneo ya boko naweza pata room ya laki na nusu chumba na sebule
Cha TSH ngapi? kuanzia laki mbili,laki na nusu.Naweza kupata chumba masta jiko na secure maneneo ya goigi?
Chumba master, sebure na choo 150k maeneo yawe Aficana au kwa BarikiweHabari wakuu,
Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, maeneo ya Afrikana, mbuyuni, Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.
Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.
Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.
Cont:+255672324777
Ipo ya Laki na themanini karibu na mbuyuni n/a kunduchi...Chumba master, sebure na choo 150k maeneo yawe Aficana au kwa Barikiwe
Kuna nyumba inauzwa Milioni 45,Habari wakuu,
Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, maeneo ya Afrikana, mbuyuni, Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.
Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.
Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.
Cont:+255672324777
Wee ina condition gani?Kuna nyumba inauzwa Milioni 45,
Ina mpangaji analipa kodi laki MBILI na nusu,
Ipo maeneo ya mbuyuni karibu na Mizani kwa chini...Ina VYUMBA VINNE, sebule,choo cha ndani public...
PouwaUkipatq tena kama hii nqombq nishtue mkuu
Vyumba VINNE, sebule,choo cha public cha ndani! Nje Ina kama kafremu pia, kuna mpangaji analipa Laki mbili na nusu,wapo familia, madirisha ya kawaida! Ikiboreshwa kuwekwa madirisha ya vioo na mengineyo,kodi inaweza kuwa hadi Laki nne.Wee ina condition gani?
Unataka lazima iwe sinza?Ukipatq tena kama hii nqombq nishtue mkuu
OkMuhimu
Hivi kama mtu ana laki tatu anaweza kupata nyumba maeneo ya kuanzia Tegeta mpaka Bunju B? Na iwe karibu na barabara kuu? Nyumba ya peke yake na iwe na sebule, chumba cha kulala kimoja au viwili, jiko na choo. Bila kusahau uzio wa ukuta.
Unaweza pata!Hivi kama mtu ana laki tatu anaweza kupata nyumba maeneo ya kuanzia Tegeta mpaka Bunju B? Na iwe karibu na barabara kuu? Nyumba ya peke yake na iwe na sebule, chumba cha kulala kimoja au viwili, jiko na choo. Bila kusahau uzio wa ukuta.
Kweli kaka! Ngojea tufanye ivyoJitahidi uwe unaweka na picha au picha mjongea..ndio wanavyofanya wenzio.
0671 220 233Habari wakuu,