- Thread starter
- #41
Kuna nyumba ina vyumba vitatu,sebule,jiko na choo cha public cha ndani, ukipita pale mbuyuni kwa mbele kuna mizani,sasa mitaa ya nyuma ya mizani,kodi ndio iyo laki mbili na hamsin..ipo vizuri tuMkubwa, me nahitaji apartment ya vyumba viwili bagamoyo road kuanzia mwenge hadi tegeta bajeti yangu 250k kwa mwezi naweza kupata?