Kuna nyumba ina vyumba vitatu,sebule,jiko na choo cha public cha ndani, ukipita pale mbuyuni kwa mbele kuna mizani,sasa mitaa ya nyuma ya mizani,kodi ndio iyo laki mbili na hamsin..ipo vizuri tuMkubwa, me nahitaji apartment ya vyumba viwili bagamoyo road kuanzia mwenge hadi tegeta bajeti yangu 250k kwa mwezi naweza kupata?
Nakucheki whatsapp unitumie picha mkuuKuna nyumba ina vyumba vitatu,sebule,jiko na choo cha public cha ndani, ukipita pale mbuyuni kwa mbele kuna mizani,sasa mitaa ya nyuma ya mizani,kodi ndio iyo laki mbili na hamsin..ipo vizuri tu
PoaNakucheki whatsapp unitumie picha mkuu
Mitaa ya goba pia una uwezo wa kupata? goba ya mwanzo mwanzo? au unahusika na tegeta tu.....
Mkuu Goba sina connection na madalali wa kule..ulitaka nyumba ya aina gani tuangalie namna zake,Goba senta au njia nne?Mitaa ya goba pia una uwezo wa kupata? goba ya mwanzo mwanzo? au unahusika na tegeta tu
Goba ya mwanzo kabla ya kufika goba centre, 2 rooms and sebuleMkuu Goba sina connection na madalali wa kule..ulitaka nyumba ya aina gani tuangalie namna zake,Goba senta au njia nne?
Ngojea nimtafute mtu nikuunge nae, kisizidi sh. Ngapi bajeti yako? Maana nyumba ya ivyo haipungui laki tatu na zaidiGoba ya mwanzo kabla ya kufika goba centre, 2 rooms and sebule
Mmh,haupo siriaz mkuuNaweza pate gheto zuri lakukodi kwa siku 4 perday isizisi 50k
Sasa wewe tafuta Mbagala ghetto kali, li-pimp, linakua la matukio tu,Naweza pate gheto zuri lakukodi kwa siku 4 perday isizisi 50k
ahahahSasa wewe tafuta Mbagala ghetto kali, li-pimp, linakua la matukio tu,
ngojea nikuulizie mkuu.Bahari Beach au Mbweni JKT nyumba za Ghorofa moja(Medium size atleast 3 bedrooms) zenye fence zinapangishwa kwa Tsh ngapi?