Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Demi mpenzi, Kile kibwana cha kimarangu kile kishamba kishamba kilichokufungulia uzi humu mmefikia wapi nacho.Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.
Boss kua mvumilivu, nikiwai kupata pesa ntakutafuta nikuazime mtajiMM MWENYEWE NIKO NJIANI BORA KUFA KULIKO HII LIFE, UTAKUAJE KILA SIKU WW TU
Huo mkopo unautolea wapi??Kwa kweli Kukosa pesa inauma sana kwa kijana wa kiume sababu unahisi kama hauna thamani yeyote hapa ulimwenguni.
Lakini amekosea kujiua angetafuta ata mkopo akaanzisha biashara .
kujiua ni dhambi kubwa sana sababu unakua umekata tamaa na uwezo wa mungu kuwa hawezi kukutoa katkia tatizo ulilonalo
Umeongea kitu cha msingi sana mkuuRIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.
Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Angepata vijana tu wakumlipa,cha muhimu ni kutengeneza jina kwanza.nilishaifanya hiyo kazi sana miaka ya nyuma.mimi nilikuwa nafundisha advanced maths &geography na vijana walikuwa wanakuja wenyewe kujifunza na kunilipa kwa topic huku nikiendelea kujipanga.Nani angemlipa?
Hahaha so you've been waiting for a payback chance?Starved f*k
Ni kosa kisheria."Unafikiri" sio vibaya maana kufikiri sio kosa kisheria
Binafsi nimejiajiri. Suala la kujiajiri ama kuajiriwa ni la mtu binafsi, ila sii lazima uajiriwe baada ya kuhitimu masomo ya elimu ya juu. Zipo kada ambazo ni muhimu kuajiriwa kama vile kada ya ELIMU & AFYA.
Tatizo la wahitimu wa sasa wanaona ajira kama malipo ya wao kuwa wamefika elimu ya juu, ila narudia tena na kusisitiza kuwa SII LAZIMA UAJIRIWE BAADA YA KUHITIMU MASOMO YAKO YA NGAZI ZA JUU.
Kuhusu suala la madai kuwa taifa letu halitoi wahitimu wasio jiajiri ni mindset za kumkatisha tamaa & kumrudisha nyuma muhitimu mwenye nia ya kujiajiri. Ukweli ni kwamba darasani unapewa basics za kukujengea uwezo wa kukua na kupanuka ki_maarifa na kufikiri ili kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo kwenye jamii
Ni kweli mtaji ni muhimu,ila kuna baadhi ya fani ni rahisi kujiajiri,mfano mtaalamu wa meno akashirikiana na mwenye mtaji na kutengeneza ajira,cha muhimu ni nidhamu na uaminifu tu.Unaweza kuwa kwa sasa umejiajiri na umeajiri lkn baada ya kuajiriwa kwa miaka kadhaa. Suala la kujiajiri ni mchakato na kikwazo kikubwa in mtaji.
Wala tusiutupie lawama mfumo ama ubora was elimu yetu. Ndiyo maana hata Ulaya na Marekani ambako ndiko tuliiga, ajira zinaliliwa na wahitimu.
Kijana kamaliza chuo, hana chochote na familia yake ni hohe hahe atasimama vipi ajiajiri?
Mkuu haya unayoyaeleza ni rahisi kufanyika nchi za wanadamu huko siyo Afrika. Kuna Uzi humu unauliza kwann Afrika ni ngumu kufanya business partnership?Ni kweli mtaji ni muhimu,ila kuna baadhi ya fani ni rahisi kujiajiri,mfano mtaalamu wa meno akashirikiana na mwenye mtaji na kutengeneza ajira,cha muhimu ni nidhamu na uaminifu tu.
mzigua umeongea point moja matata sana kula likeMaskini. Apumzike kwa amani. Hakuna kitu kinatia mawazo kwa mtoto wa kiume kama akose chanzo cha pesa.
Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
Na wewe unapaswa uijiuwe hufai katika jamii, kwanini hauwazi kuanzisha computer lab vijana kama hawa wanaokosa maarifa ya kujiajiri uwaajiri ?Mwenye makosa ni jiwe yeye ndie kasababisha dogo afe. Angeacha ufisadi wa matrilioni ya watanzania kwa kisingizio ya midege na mireli hii isingetokea.
Jiwe is to blame if you dont like go and heeng
F*kn payback opportunityHahaha so you've been waiting for a payback chance?
We jamaa acha dharau,kuna watu hata nafasi ya kujitolea wanatoswa sembuse ajira.Kama hujawahi kusota kitaa mshukuru Mungu,halafu wengine walikuwa vichwa darasani ila wanatembeza bahasha huku waliokuwa kawaida wanatusua ambapo kwa ubinadamu lazima ukate tamaa.Mtu wa kwanza anayetakiwa kukupa moyo kipindi cha msoto ni familia yako na marafiki,wakiwa wanakuponda mambo kama hayo lazima yakujie kichwani.why always me?Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Tena wasomi ndo hatari balaa nimemmendea mmoja ana nipiga danadana,mwisho ananiambia tatizo hueleweki una dau gani. Nikachoka