Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Kwa akili yangu hii sitajiua kwa chochote, nikifanya hivyo itakuwa nimepatwa tatizo la akili.
Demi mpenzi, Kile kibwana cha kimarangu kile kishamba kishamba kilichokufungulia uzi humu mmefikia wapi nacho.

Daah kameonesha udhaifu mkubwa, ungekaectia tukachune mpaka kubakie na mapumb**u tu
 
Kwa kweli Kukosa pesa inauma sana kwa kijana wa kiume sababu unahisi kama hauna thamani yeyote hapa ulimwenguni.
Lakini amekosea kujiua angetafuta ata mkopo akaanzisha biashara .
kujiua ni dhambi kubwa sana sababu unakua umekata tamaa na uwezo wa mungu kuwa hawezi kukutoa katkia tatizo ulilonalo
Huo mkopo unautolea wapi??
 
RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.

Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.

Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Umeongea kitu cha msingi sana mkuu
 
Nani angemlipa?
Angepata vijana tu wakumlipa,cha muhimu ni kutengeneza jina kwanza.nilishaifanya hiyo kazi sana miaka ya nyuma.mimi nilikuwa nafundisha advanced maths &geography na vijana walikuwa wanakuja wenyewe kujifunza na kunilipa kwa topic huku nikiendelea kujipanga.
 
Nadhani watu wengi humu ni wavivu wa kufikiri. Bado hatujajua kwa hakika ni sababu ipi iliyomfanya akafanya hivyo.
Lakini dunia ina kumbukumbuku ya watu kujiua hata wenye matajiri.Nasikia nchi za Scandinavia (Sweden, Denmark na Norway) mamia ya watu ambao ni matajiri na wana raha kutokana na ukwasi Walio nao hujiua.Sababu kubwa ni kuwa na raha kupitiliza.
 
Unaweza kuwa kwa sasa umejiajiri na umeajiri lkn baada ya kuajiriwa kwa miaka kadhaa. Suala la kujiajiri ni mchakato na kikwazo kikubwa in mtaji.

Wala tusiutupie lawama mfumo ama ubora was elimu yetu. Ndiyo maana hata Ulaya na Marekani ambako ndiko tuliiga, ajira zinaliliwa na wahitimu.

Kijana kamaliza chuo, hana chochote na familia yake ni hohe hahe atasimama vipi ajiajiri?

Binafsi nimejiajiri. Suala la kujiajiri ama kuajiriwa ni la mtu binafsi, ila sii lazima uajiriwe baada ya kuhitimu masomo ya elimu ya juu. Zipo kada ambazo ni muhimu kuajiriwa kama vile kada ya ELIMU & AFYA.

Tatizo la wahitimu wa sasa wanaona ajira kama malipo ya wao kuwa wamefika elimu ya juu, ila narudia tena na kusisitiza kuwa SII LAZIMA UAJIRIWE BAADA YA KUHITIMU MASOMO YAKO YA NGAZI ZA JUU.

Kuhusu suala la madai kuwa taifa letu halitoi wahitimu wasio jiajiri ni mindset za kumkatisha tamaa & kumrudisha nyuma muhitimu mwenye nia ya kujiajiri. Ukweli ni kwamba darasani unapewa basics za kukujengea uwezo wa kukua na kupanuka ki_maarifa na kufikiri ili kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo kwenye jamii
 
Unaweza kuwa kwa sasa umejiajiri na umeajiri lkn baada ya kuajiriwa kwa miaka kadhaa. Suala la kujiajiri ni mchakato na kikwazo kikubwa in mtaji.

Wala tusiutupie lawama mfumo ama ubora was elimu yetu. Ndiyo maana hata Ulaya na Marekani ambako ndiko tuliiga, ajira zinaliliwa na wahitimu.

Kijana kamaliza chuo, hana chochote na familia yake ni hohe hahe atasimama vipi ajiajiri?
Ni kweli mtaji ni muhimu,ila kuna baadhi ya fani ni rahisi kujiajiri,mfano mtaalamu wa meno akashirikiana na mwenye mtaji na kutengeneza ajira,cha muhimu ni nidhamu na uaminifu tu.
 
Ni kweli mtaji ni muhimu,ila kuna baadhi ya fani ni rahisi kujiajiri,mfano mtaalamu wa meno akashirikiana na mwenye mtaji na kutengeneza ajira,cha muhimu ni nidhamu na uaminifu tu.
Mkuu haya unayoyaeleza ni rahisi kufanyika nchi za wanadamu huko siyo Afrika. Kuna Uzi humu unauliza kwann Afrika ni ngumu kufanya business partnership?

Yaani upeleke kichwa tu kwa mtu mwenye fedha akukubali kama business partner, tena ndiyo umetoka chuo? Kwa Afrika hii ngumu.
 
Degree ya sayansi ya kitanakilishi unajiuwa? Angeazima hata tanakilishi mpakato afanye maujanja yake ashindane na billgate
 
Mwenye makosa ni jiwe yeye ndie kasababisha dogo afe. Angeacha ufisadi wa matrilioni ya watanzania kwa kisingizio ya midege na mireli hii isingetokea.

Jiwe is to blame if you dont like go and heeng
Na wewe unapaswa uijiuwe hufai katika jamii, kwanini hauwazi kuanzisha computer lab vijana kama hawa wanaokosa maarifa ya kujiajiri uwaajiri ?
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
We jamaa acha dharau,kuna watu hata nafasi ya kujitolea wanatoswa sembuse ajira.Kama hujawahi kusota kitaa mshukuru Mungu,halafu wengine walikuwa vichwa darasani ila wanatembeza bahasha huku waliokuwa kawaida wanatusua ambapo kwa ubinadamu lazima ukate tamaa.Mtu wa kwanza anayetakiwa kukupa moyo kipindi cha msoto ni familia yako na marafiki,wakiwa wanakuponda mambo kama hayo lazima yakujie kichwani.why always me?
 
Tena wasomi ndo hatari balaa nimemmendea mmoja ana nipiga danadana,mwisho ananiambia tatizo hueleweki una dau gani. Nikachoka

Mi sijui itakuwaje, nyeto haiwezekani, kipato cha uhakika hamna kumgharamia demu haiwezekani lazima atagongwa tu, na ndo kitu kinachoumiza moyo vibaya. Potelea mbali sokoni nitaenda kununua papa na uswahilini natongoza nikibahataka nakanyaga nalala mbele. Sitaki ujinga mimi
 
Back
Top Bottom