Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Ni utahira kujiuwa eti kisa ajira, na kwa ninavyofahamu Mimi watu wanaosoma computer science, IT, computer engineering n.k wanajifunza pia entrepreneur ili baada ya kumaliza elimu zao wasiwe na mawazo mgando ya kusubiri au kuanza kutafuta ajira.
.
Na ningekuwepo maeneo hayo ningechapa viboko maiti yake PUMBAVU KABISA Rest in hell.
 
Baada ya Muhammar El Ghaddafi kuondolewa madarakani na Kisha kuuwawa je Kuna mabadiliko gani Libya?
 
Watu wana magamba ya Engineering kutoka MIT halafu wanapiga mishe zingine tu kitaa,yeye kupita UDSM anajiona wa kipekee sana lazma apate ajira.
 
Duu haya maisha ni balaa
 
Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?


Kama maisha ni easy kwako, usidhani kwa kila MTU ndo yako hivyo, pia tunatofautiana uwezo wa kuvumilia stress, ewe demi, umaskini ukikuvalia njuga utakosa hadi bando la kukuwezesha ku-post jf, utajiajiri na mwishowe biashara itafeli, na kuingia kwenye madeni makubwa..utafanya kazi kama punda lkn hutosogea kimaendeleo demi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…