msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
Hizi ndizo akili zenuHuna lolote wewe.porojo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndizo akili zenuHuna lolote wewe.porojo tu
Uaminifu na unyenyekevu ndio shida kubwa,lakini ukiwa na hizo sifa kuu mtaji unaweza kupatikana.Mkuu haya unayoyaeleza ni rahisi kufanyika nchi za wanadamu huko siyo Afrika. Kuna Uzi humu unauliza kwann Afrika ni ngumu kufanya business partnership?
Yaani upeleke kichwa tu kwa mtu mwenye fedha akukubali kama business partner, tena ndiyo umetoka chuo? Kwa Afrika hii ngumu.
Jaribu kuwa muelewa... tatizo sio bei ya pombe nimejiuliza tu kwa nini mtu uwe mlevi kisa huna kazi? Unawezaje kupata hata hiyo kazi wakati unajiharibu kwa ulevi? Kwa hiyo wewe unaona ilikuwa sawa anywe pombe sababu hana kazi na sababu pombe ni shilingi 500?Hujui kuwa kuna pombe mpaka za 500 tsh. Hata kama akinywa chupa 20 maana yake anakuwa ametumia elfu 10.
Hivi kwa nchi hii unaweza anza biashara kwa shilingi 10,000. Acheni dharau za kutokuwa na shuruba ya maisha
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Na bado Mheshimiwa Rais anatwambia watanzania tutembee vifua mbele kwa kuwa we are in the right track!
Hii damu isiyo na hatia inayomwagika itaendelea kumlilia Jiwe kizazi na kizazi!
Duuh!!!Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
Kuna pombe za sh 100 zinaitwa wanzukiPesa ya pombe alizokuwa analewa ni mtaji tosha.
Mama yake alikuwa anapiga vigelegele wakati jiwe anapiga push-ups
Tena wasomi ndo hatari balaa nimemmendea mmoja ana nipiga danadana,mwisho ananiambia tatizo hueleweki una dau gani. Nikachoka
😂😂😂😂👐Mimi siyo mtu.
Binafsi sijawahi kumlaumu mtu aliyeamua kujiua kwa sababu kifo ni wajibu kwa mwanadamu na viumbe vingine.. Hata kama usipojiua nafasi ya kupitia hatua ya kifo iko pale pale.. Kifo ni kifo tu haijalishi utakufa kwa namna ipi.. Ni kama ambavyo ilivyo safar. Safar ni safari tu iwe kwa miguu.. Gari au bicycleHumu ndani kwa kufuata upepo,mnamlaumu kajiua,mlitaka aishi ale mawe?? You have never been in his shoes and understand his struggle,,,,,,,badala ya kuchangia tufanye nini Vifo km hivi visitokee mko tu this ,that...Nani asiyejua unemployment na unmet expectations zinavyoweza kusababisha depression ambapo suicidal thoughts ni common,,,tuichagize serikali i invest kwenye mental health wellbeing facilities and add self employment skills kwenye course zinazotolewa shuleni,currently watu wamejaza matheories tu ,,,nilisema hapa course ambazo mtu anaweza kujiajiri fees iwe kidogo,watu watakua wengi watakaosoma hizi courses , I bet kila mtu akijiajiri na kuajiri mwingine mmoja au wawili uchumi wetu utapanda,this is how you invest in people na sio kununua mandege tuonekane kwa nje tumeanza kujenga ma flyover wakati people are worse off
Mdudu