Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa

Huyu jamaa aliwahi kukanwa na muumini wake aliepanga nae kufanya muujiza mbele ya umati wa kondoo wake mpaka akaona noma, sasa isije kuwa na hapa kapanga na wakubwa zetu kusema maneno haya ili kutupa sisi matumaini.Katika kusoma kwangu kote sijawahi kuona ugunduzi wa kisayansi uliotabiriwa na hawa watu wa dini. Tokea akina marehemu Mzee Moses Kulola kufa tumebakiwa na wachungaji watafuta kiki tu.Na haya yote wanafanya sio kwa ujinga wanajua kwa maneno hayo kuna mtu atafurahi sana kwa hizi sifa za kijinga na wao mambo yao yatawanyookea.
 
Wajinga ndio waliwao mkuu
 
Nimefurahia ufafanuzi wako kiasi kwamba nimeelewa kilicho kichwani mwako.
Sitashangaa tena utakachokua ukiandika.
Ndio sababu sisiemu wanashinda kwa kishindo hongera sana.
 
Alikuibia nini? Kanisa lake linakuwa financed Na business zake sio sadaka Na mafungu ya kumi.Ni mtu pekee anayetaka matajiri wafungue makanisa sababu Yesu aliajiri mitume ambao wote walikuwa Na kazi hakuajiri jobless wanaotegemea sadaka Na mafungu ya kumi kuishi kwenye huduma.Petro alikuwa mvuvi Na paulo mshona Hema,Yesu selemala nk Bushiri ni bilionea business man anayefanya kazi ya Mungu anayetaka wenye pesa wafungue makanisa watakayosimamia wenyewe Na kuya finance wasiishie kuzila tu
 
sawa gates .... ph
 
Mpumbavu sana wewe walahi!
Angesema vita ndio ungefurahia!
Basi kwa sababu hukuamini hakika vita haitaisha kwenye familia yako milele yote walahi nakwambia!
With Almighty One speed walahi
 
Mpumbavu sana wewe walahi!
Angesema vita ndio ungefurahia!
Basi kwa sababu hukuamini hakika vita haitaisha kwenye familia yako milele yote walahi nakwambia!
With Almighty One speed walahi
 
Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Yupo sahihi kondoo unafuga ukitaka kula uende kwenye zizi la mwingine wapi na wapi,unafuga ukitaka wa kula unachagua uliye mlisha vizuri Mwenye nyama laini unagonga teh teh teh...
 
Huyo ndio yule alieonekana anamwambia piga kelele yule mfuasi wake ili aonekane anamtoa mapepo,matapeli hawataisha kwenye dini haswa hizi za promotion
 
Alishasema Mzee wetu mmoja atakufa na bado anadunda tu, na kwa nguvu ya mwenyezi MUNGU ataendelea kudunda, sina hamu naye huyu. Pia angalia hii FAKE MIRACLE ==> . Jamaa wanatupiga sanaaa hasa wadada.

Hata hivyo UTABIRI WAKE UNAKARIBISHWA SANA
Hata Mimi ngekuwa nakundi kubwa ya nini nihangaike kutafuta wadada mbili napiga wa humo humo tena nachagua wale wazuri.
 
Sina ushahidi na utapeli wake,ninachojua ni mtumishi wa Mungu anaehubiri injili,sijajua anaitumiaje injili kutapeli...
 
Huyo ndio yule alieonekana anamwambia piga kelele yule mfuasi wake ili aonekane anamtoa mapepo,matapeli hawataisha kwenye dini haswa hizi za promotion
Sio huyo aliyesema hivyo ni mtanzania mwanamke yuko sinza
 
Reactions: Pep
Sio Bushiri huyo ni nabii Olivia mtanzania mwenzetu yuko sinza dar es salaam Google andika nabii Olivia YouTube utapata Na hilo ulilosema live.Usimsingizie Bushiri uongo
Akili zako kama za jiwe,mimi nimeona utube hutaki kanye jela shubamit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…