Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Huyu jamaa aliwahi kukanwa na muumini wake aliepanga nae kufanya muujiza mbele ya umati wa kondoo wake mpaka akaona noma, sasa isije kuwa na hapa kapanga na wakubwa zetu kusema maneno haya ili kutupa sisi matumaini.Katika kusoma kwangu kote sijawahi kuona ugunduzi wa kisayansi uliotabiriwa na hawa watu wa dini. Tokea akina marehemu Mzee Moses Kulola kufa tumebakiwa na wachungaji watafuta kiki tu.Na haya yote wanafanya sio kwa ujinga wanajua kwa maneno hayo kuna mtu atafurahi sana kwa hizi sifa za kijinga na wao mambo yao yatawanyookea.