Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Wewe mchicha mwiba ndio unashida
Watu wa Arusha akili hamna kenge wewe fuatilia mabasha wako wa Mererani ndio unachojua ndio maana mmeeekewa ukuta wapumbavu kama wewe msikanyage huko mnakutia najisi ndio maana madini hayaonekani
 
Watu wa Arusha akili hamna kenge wewe fuatilia mabasha wako wa Mererani ndio unachojua ndio maana mmeeekewa ukuta wapumbavu kama wewe msikanyage huko mnakutia najisi ndio maana madini hayaonekani
Sawa dada heri yangu mimi kenge kuliko wewe kenge maji,huku ukuta hautupi tabu sana kazi zinaendelea.naskia posho za juzi monduli hujalipwa ndio mana unawashwa
 
Ili ufanikiwe ni kusoma saikolojia ya watu tu, hapa kasoma saikolojia ya jiwe Mara utasikia kakaribishwa ikulu
 
GOOD LET YOUR DREAMS COME TRUE
 
Kua nayo sio tija mungu huwalipa hapahapa ndio mana wengine wanakesi za kuzaa na wake za watu,wengine watoto zao hawaeleweki jinsia

Utaendelea kusubiri sana hayobyamtokee, ila mengi hua ni kutaka kumchafu. Na hiyo ni hulka ya kibinadamu kuchafuana wanapo ona wamepigwa gap
 
Yuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Kumbe ile mbinu ya kununua wapinzani no wewe ndie uligundua?
 

1. Hivi kuna tofauti kati ya "Nabii" na "Prophet"?
2. Na yeye ni "Nabii Mkuu" kwa kulinganisha na akina nani na katika Bara gani au kwa dunia nzima?
 
Sasa kinachokukera wewe ni maendeleo yake ama huo unabii wake ....acha ukilaza,unamchukiaje mtu bila kuwa na sabababu,fake pastor fake pastor wewe una jicho la kimungu kujua yeye ni fake pastor
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› nabii yupo tanzania ataanzaje kuisifia kenya ...wakati anataka sadaka za watanzania.....akienda kenya atasema vizuri kuhusu kenya.....
 
Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
tabu mnatega sana kiukweli hata mimi sina uhakika naweza vumilia kila siku kukutana na wanawake zaidi ya 200 wazuri halafu ukapita salama.
 
Nimepata hisia kwamba anatafuta kutembelewa waumini wake kama ambavyo amekwisha Raisi Magufuli kwenye makanisa mengine.
Kazi zake nyingi anafanyia south Africa sasa nadhani anahitaji attention ya watu na na serikali ya nchi. Anaweza hata kutumika hate kisiasa
 
Kuna yule alitabiri kupatikana kwa Malysia airline week moja baada ya kuzama vipi ilipatikana?
 
huyu jamaa ndo alitumiaga IPAD kumuonyesha mmoja wa waumini wake mtoto. Icheck hapa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…