Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Ungejongea mkuu,jokes kwenye mambo ya Mungu huwa sifanyi.Mkuu sadaka mlikuwa mnatupia sh ngapi ngapi? Naomba nikutumie ka namba kangu ka Halopesa unirushie japo ka 5,000 nile asee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejongea mkuu,jokes kwenye mambo ya Mungu huwa sifanyi.Mkuu sadaka mlikuwa mnatupia sh ngapi ngapi? Naomba nikutumie ka namba kangu ka Halopesa unirushie japo ka 5,000 nile asee!!
Kumbe ulikuwa unamkubari angalia ungaechwa manyoyaToka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Nikuulize wewe kizazi cha nyoka,Nabii hats kwenye Biblia hawajawahi kuomba mabaya yatokee juu ya Nchi ili watu wajifunze.By the way ajali ile ni mkono wa Mungu au uzembe wa Binadamu?Unataka kuniambia wakati Yesu akiwepo hakuna matukio yaliyokuwa yanatokea nyakati zile?Biblia huwa unaisoma au Mungu unamtania????Yaaani kivuko mkijaze kupita kiasi,halafu mseme Nabii yupo?Are u mad?ushajaa kwenye formula, miujiza hata shetan anafanya, huyo bushir kama ni nabii yupo toka juz kwann hakuona unabii wa Ajar ya mv nyerere? huyo ni tapel mkubwa
Ndugu yangu hakuna MTU ajuaye siku wala SAA ya kuja kwake Bwana Yesu.Akijua yesu anarejea lini itakuwa msaada mkubwa kwa kondoo wake.
Shetani kawafunga ufahamu mkuu.Sishangai kwani hata Nabii Isaya walimuona Mwendawazimu!Ndugu yangu hakuna MTU ajuaye siku wala SAA ya kuja kwake Bwana Yesu.
Kesha ukiomba ili Wakati atakapo kuja akukute.
Ukimsikia MTU ye yote anataja siku na saa ya kuja kwake Yesu ujue huyo MTU hatoki kwa Yesu,maana Yesu mwenyewe alisisitiza ya kwamba hiyo siku hata yeye haijui,isipokuwa baba tu.
Mkuu,usinene mabaya juu ya watumishi wa Mungu.Maandiko yameweka wazi kabisa kuhusu hilo!Kumbe ulikuwa unamkubari angalia ungaechwa manyoya
Rudi kundini mkuu!Ungekua una umbo km avatar yako ningeshaingia ktk skendo ya kukula pia
Kundi gani mkuuRudi kundini mkuu!
Upo sahihi,unavyo mjudge?ww ushakuwa mateka wa manabii fake
just a joke mkuu@MziguaKundi gani mkuu
Tatenaneee!😳😳😳Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Umeshawahi kuliona au ndo hadithi za vijiweni na kwenye kahawa ,what is the authenticity of your statement?tusiwetunapenda kusikia hadithi na kuropoka tu.Shimo kubwa kabisa la kuingia kuzimu linapatikana Kilimanjaro.
Wakuna cha manabii hapo ni wasaka pesa tu hao, sijawahi amini watu wa dini za kujifanya kutoa mapepo, sasa utashangaa Mtu kama Masanja nae anakuwa nabiiYesu alimwambia Shetani wazi,kuwa imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.Kivuko kijaze kupita kiasi,halafu useme,eti Nabii mbona hakuona hiyo ajali???Ni heri ubaki kuwa Tomaso,kuliko kuconlude mambo kwa akili ya low thinker.Thats why Biblia imeandika wazi kaika Injili ya Marko kuwa,Yesu alimwambia Petro,rudi nyuma shetani.Kwani uyawazayo ni ya Kibinadamu.
Kwa hiyo nguvu za slot zote atahamishia ktk kutabiri sasaMajuzi hapa alikua anaelezea jinsi biashara ya forex inavyompa hasara.