Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Ni kweli kabisa maana sasa hivi tunajitahidi kuimarisha safari zetu za nyungo.Mf kutoka swanga kwenda Zenji ni seku 45 tu na Pemba tu mza ni dk1na mza kigoma ni sekunde 25.Tunataka tupanue soko hadi Dubai na china kwa kupitia Nigeria.
 
ushajaa kwenye formula, miujiza hata shetan anafanya, huyo bushir kama ni nabii yupo toka juz kwann hakuona unabii wa Ajar ya mv nyerere? huyo ni tapel mkubwa
Nikuulize wewe kizazi cha nyoka,Nabii hats kwenye Biblia hawajawahi kuomba mabaya yatokee juu ya Nchi ili watu wajifunze.By the way ajali ile ni mkono wa Mungu au uzembe wa Binadamu?Unataka kuniambia wakati Yesu akiwepo hakuna matukio yaliyokuwa yanatokea nyakati zile?Biblia huwa unaisoma au Mungu unamtania????Yaaani kivuko mkijaze kupita kiasi,halafu mseme Nabii yupo?Are u mad?
 
Akijua yesu anarejea lini itakuwa msaada mkubwa kwa kondoo wake.
Ndugu yangu hakuna MTU ajuaye siku wala SAA ya kuja kwake Bwana Yesu.
Kesha ukiomba ili Wakati atakapo kuja akukute.
Ukimsikia MTU ye yote anataja siku na saa ya kuja kwake Yesu ujue huyo MTU hatoki kwa Yesu,maana Yesu mwenyewe alisisitiza ya kwamba hiyo siku hata yeye haijui,isipokuwa baba tu.
 
Mnamfahamu nabii aliyemuomba Mungu,mvua isinyeshe ili watu wapate kutubu?????
 
Ndugu yangu hakuna MTU ajuaye siku wala SAA ya kuja kwake Bwana Yesu.
Kesha ukiomba ili Wakati atakapo kuja akukute.
Ukimsikia MTU ye yote anataja siku na saa ya kuja kwake Yesu ujue huyo MTU hatoki kwa Yesu,maana Yesu mwenyewe alisisitiza ya kwamba hiyo siku hata yeye haijui,isipokuwa baba tu.
Shetani kawafunga ufahamu mkuu.Sishangai kwani hata Nabii Isaya walimuona Mwendawazimu!
 
Yesu alimwambia Shetani wazi,kuwa imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.Kivuko kijaze kupita kiasi,halafu useme,eti Nabii mbona hakuona hiyo ajali???Ni heri ubaki kuwa Tomaso,kuliko kuconlude mambo kwa akili ya low thinker.Thats why Biblia imeandika wazi kaika Injili ya Marko kuwa,Yesu alimwambia Petro,rudi nyuma shetani.Kwani uyawazayo ni ya Kibinadamu.
 
By the way,Nabii yoyote huenda eneo maalumu,kwa ajili ya kupeleka ujumbe maalumu.Kwa watu maalumu.Hivyo walengwa tunashukuru Mungu kwa tulichokipata.Na tunazidi kumuomba Mungu azidi kutuimarisha.Pamoja na walio kengeuka pia!
 
Shimo kubwa kabisa la kuingia kuzimu linapatikana Kilimanjaro.
Umeshawahi kuliona au ndo hadithi za vijiweni na kwenye kahawa ,what is the authenticity of your statement?tusiwetunapenda kusikia hadithi na kuropoka tu.
 
Yesu alimwambia Shetani wazi,kuwa imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.Kivuko kijaze kupita kiasi,halafu useme,eti Nabii mbona hakuona hiyo ajali???Ni heri ubaki kuwa Tomaso,kuliko kuconlude mambo kwa akili ya low thinker.Thats why Biblia imeandika wazi kaika Injili ya Marko kuwa,Yesu alimwambia Petro,rudi nyuma shetani.Kwani uyawazayo ni ya Kibinadamu.
Wakuna cha manabii hapo ni wasaka pesa tu hao, sijawahi amini watu wa dini za kujifanya kutoa mapepo, sasa utashangaa Mtu kama Masanja nae anakuwa nabii
 
Back
Top Bottom