Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Walewale tu wa kuhubiri nin roho inapenda na c tunachopaswa kufanya na kuishi vp ili cku moja tumalize safari ya dunian tukiwa tumevipiga vita vilivyo vizuri
 
Wakuna cha manabii hapo ni wasaka pesa tu hao, sijawahi amini watu wa dini za kujifanya kutoa mapepo, sasa utashangaa Mtu kama Masanja nae anakuwa nabii
Wewe haumuamini Masanja?Ni sawa kwa mtazamo wako.Je unajua kwa nini Mtume Paulo alifundisha kuliko watume wote 12 wa Yesu?Mpaka kufikia kuitwa Mwalimu wa walimu?Swali ni je,huyo Masanja aliyoyafanya Paulo akiwa Sauli,je amemfikia hata chembe?Ndugu usisome Neno la Mungu kama gazeti.Mwenye kuweza kuhukumu ni Mungu peke yake.Ndio maana hata aliekuwa anawaua watu wake,alimfanya kuwa Mtume juu yao(Sauli).Mkuu,Mungu wetu hawazi kibinadamu.Vinginevyo ingekuwa ni shidaaa.Pole sana,Soma neno vyema,na liwe kiongozi wako.Ndio maana maandiko yanasema tusinene vibaya juu ya watumishi wa Mungu.Jiulize aliekuwa Muuaji,leo aje akuhubirie Habari njema,kwa mtazamo wako unadhani ni kazi rahisi?????Ila kwa Mungu yote yanawezekana.Aluta Continua,be blessed!
 
Acha kuwa mtumwa wa dini za watu, na tuache kudanganya watu kwa mgongo wa dini, ndo maana maskini wa kiafrika wanahangaika makanisani kusali sana, wanazani shida zao zitatuliwa hakuna hiyo, siamini katika kuombea mtu apate utajiri, au apate kitu fulani hayo ni maigizo
 
Yesu Mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake,wasiwakataze watu wanaotoa pepo,kwa jina lake.Au mmesahau,alivyowaambia kuwa mavuno ni Mengi,lakini watendakazi ni Wachache?????Wakija watendakazi ni shida???Au mnataka mavuno yawe machache.Am not a judge,lakini kama Yesu Mwenyewe alisema kuwa hakuna mkamilifu isipokuwa BABA(MUNGU).Je,basi mimi na wewe tunaukamilifu gani wa kuwahukumu wengine.TAFAKARI!
 
Acha kuwa mtumwa wa dini za watu, na tuache kudanganya watu kwa mgongo wa dini, ndo maana maskini wa kiafrika wanahangaika makanisani kusali sana, wanazani shida zao zitatuliwa hakuna hiyo, siamini katika kuombea mtu apate utajiri, au apate kitu fulani hayo ni maigizo
By the way,ndio maana kuna Uhuru wa kuabudu.Ili kila mmojawapo awe huru.Hakuna aliekulazimisha kuabudu sehemu Fulani.Msisitizo wangu ni mmoja tu,tusihukumu ili nasi tusije tukahukumiwa,according to Bible. Ni hilo tu.Sasa kama were unataka kubishana na maandiko. Basi sawa mkuu!
 
Hi
Acha kuwa mtumwa wa dini za watu, na tuache kudanganya watu kwa mgongo wa dini, ndo maana maskini wa kiafrika wanahangaika makanisani kusali sana, wanazani shida zao zitatuliwa hakuna hiyo, siamini katika kuombea mtu apate utajiri, au apate kitu fulani hayo ni maigizo
Hiyo Dini yako ni ya nani labda mkuu?Mimi sio mtumwa wa dini yoyote.Soma reply zangu utanielewa.Naona umekurupukia mada katikati!
 
Kwanini huoni mwenye mtoto alikua anashangaa amewezaje kupata picha ya mwanae sasa hiyo trick vipi,na aliomba ipad kwa mtu,miracles happen banah
hahahahaaaaaaaaaaa wamejipanga aisee usidanganyike
 
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.

Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.

Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.

Nipashe
Mwaka wa saba ndio huu vijana wanagundua LBL na utapeli mwingine, bado sijaona ugunduzi wa kisayansi
 
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.

Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.

Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.

Nipashe
Katika hiyo miaka 7 aliyotabiri imebaki mingapi?
Tunataka tuone ukweli wa alichotabiri
 
Back
Top Bottom