GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku na Mayai.
Binafsi nakumbuka kuna Siku niliota nakula mno Msosi japo niliposhtuka nilikuta Mdomo wangu ni mkavu sana. Sasa sijui nami walinyea Kinywani!
Binafsi nakumbuka kuna Siku niliota nakula mno Msosi japo niliposhtuka nilikuta Mdomo wangu ni mkavu sana. Sasa sijui nami walinyea Kinywani!