Asa si mstafu huyu..Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.
Mochwari wewe hata ukiwa 90 nguvu ipo unapiga kaziMiaka 64 hajastaafu tyuu
Kweli kabisa,watu wanataka human organsBiashara ya mochwari zote hio duniani inaingiza mamilioni ya hela
Biashara ya utajiriKweli kabisa,watu wanataka human organs
Ova
India huko ndiyo balaaBiashara ya utajiri
Hiyo kazi kuongezewa mkataba ni chap tena unaombwa. Moja ya kazi zisizopendwa.Miaka 64 hajastaafu tyuu
Hata magaidi ndio biashara zaoIndia huko ndiyo balaa
Sema India inaruhusiwa
Kwa afrika ni Black Market
Sasa kijana mdg kapigwa mzinga
Bodaboda figo,viungo vya ndani watu wakiona viko fresh wanavingoa
Ova
Songwe hadi KageraJeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.
Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.
Eastern Europe piaHata magaidi ndio biashara zao
Nadhani ni kwa sababu ile kazi vijana wanaiogopa ndio maana hawapendi kubadilisha wafanyakaziMochwari wewe hata ukiwa 90 nguvu ipo unapiga kazi
Ova
Hiyo ni biashara kongwe na haitakaa iishe na huchanganya sana vipindi vya uchaguziHaya sasa wakuu
hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.
Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.
Taarifa ya awali inaeleza kuwa viungo hivyo vilikamatwa kufuatia msako maalum wa vyombo vya dola. Uchunguzi unaendelea ili kubaini undani wa tukio hili lililozua hofu na maswali mengi kuhusu usalama wa maiti na matumizi ya viungo vya binadamu.
Usalama wa maiti 😀Haya sasa wakuu