Mhusika wa tukio la Salenda kama sio Mwendawazimu basi sinema miongoni mwa sinema za Kichina

Kwamba mwamba kajitolea kufa ili kufanya hiyo filamu??
Hii kitu imekua common sana hapa Tz vitu vingi inaaminika kua ni serikali inatengeneza ili kufunika baadhi ya ajenda, hala hala isijekua ni tahadhari sie tunaamini ni polisi wanafanya movie.
 
huyu atakuwa ni mwamba wa kaskazini au mnasemaje ndugu zangu
 
Bi Samia, zaidi halisi uliyemtamani kaanza kutokeza. Serikali yako kutamani nchi yetu iwe na magari mpaka mnawabambikia wanasiasa, sasa dunia inashuhudia matendo cha kigaidi haswa mlichokuwa mnakiota. Tushuhudie Tz ikitangazwa si salama!
 
Umepagawa, raia 3 wamekufa wewe unasema la kutengenezwa.... kama una akili timamu utagundua hili, jamaa alipanga tukio peke yake ndiyo maana kauawa na picha za video na mnato zinathibitisha hilo...
 
Ni tukio la kutengeneza.Gaidi huwa hapigi risasi randomly.Gaidi huwa ana specific target at specific time.Subiria serikali jioni itaanza kujichanganya yenyewe na kujikuta inaanika ukweli wote bila ya kukusudia kwa sababu hawakuwahi kuwa na akili.
Hii nimeielewa sana. Gaid lazma apange mapema sio anakurupuka
 
Daaah yaani we mwandishi usamehewe tu,watu wamekufa unasema false flag cjui nini,anyway ndio madhara ya kukurupuka kutaka kuwa wa kwanza kutoa mada bila uchunguzi zaidi,acha kukurupuka mzee.
 
Umepagawa, raia 3 wamekufa wewe unasema la kutengenezwa.... kama una akili timamu utagundua hili, jamaa alipanga tukio peke yake ndiyo maana kauawa na picha za video na mnato zinathibitisha hilo...
Raia 3 si kweli...ninachojua ni askari polisi wawili ndio walivamiwa wakafa
 
Umepagawa, raia 3 wamekufa wewe unasema la kutengenezwa.... kama una akili timamu utagundua hili, jamaa alipanga tukio peke yake ndiyo maana kauawa na picha za video na mnato zinathibitisha hilo...
Hadi sasa polisi imethibitisha mambo mawili.

1. Polisi wamethibitisha
tukio lililotokea ni Uhalifu kama Uhalifu mwengine. Na sio Ugaidi.
Na wala si Ugaidi wa Waislam.

Hapo tunakwenda sawa.

2. Polisi pia wamethibitisha vifo kutokea.

hoja yangu ni nini.

Hoja yangu ni uhuni wa kisiasa unaotengeneza matukio ya kigaidi na kubambikiwa waislam ulimwenguni.

Ugaidi nchini haupo. Na matukio mwengi ya ugaidi duniani ni ya kutengenezwa.
 
Daaah yaani we mwandishi usamehewe tu,watu wamekufa unasema false flag cjui nini,anyway ndio madhara ya kukurupuka kutaka kuwa wa kwanza kutoa mada bila uchunguzi zaidi,acha kukurupuka mzee.
Kwani mwendawazimu hawezi kuuwa?!?!
 
Baruti au rubber bullets. Na siamini jamaa kauwawa hadi nishudilie anazikwa. Tusije kuambiwa kaenda kutoswa baharini kama Gaidi Osama.
Kapigwa risasi ya kichwa na nyingine nyingi tu huyo kafa fuatilia video zilizo sambaa
 
Nikuulize kidogo boss?
1. Unasema Tz halijawahi tokea tukio la kweli la ugaidi ile ya ubalozi wa Marekani ilikuwa senema pia?
2. Kwanini unasema kama ni gaidi unataka ushahidi kuwa katokea Rwanda au Msumbiji?
3. Amefikaje na bastola na bunduki 2, we umepata wapi hizi habari wakati polisi wanasema alikuwa na bastola tu ila aliuwa polisi ndio akachukua bunduki zao
4. Karibu na makao makuu ya Jeshi, are you sure? Unajua kama makao makuu ya Jeshi yako Dodoma?

Ukisema ni mgonjwa wa akili naweza kukubali
 
Dah, hii nchi ina vilaza wengi sana. Wewe umekuja kutetea UISLAM. kwa taarifa yako sio waislam wote ni magaidi. Wapo wengi sana waliostaarabika.
Ingawa 99% ya magaidi wanatumia Quran kuhalalisha huo uovu wao.
 
Yule jamaa ambae Serikali inamwita kuwa ni "gaidi" hana uwezo wa kuua Polisi.Lile tukio ni staged event.Limepangwa na muda siyo mrefu Serikali itaanza kujiumbua yenyewe kwa sababu hawajawahi kuwa na akili katika kupanga matukio.
 
Cha kujiuliza why did not attack civilians.....?
Kwa ABC za ki usalama yale maenoo ya salender yana tight security.
Cha kujiuliza ilikuwaje kuwaje ikawezekana mtu kuingia na silaha bila kuonwa na dola kwenye eneo lenye tight security....

Mawazo yetu yanaenda mbali zaidi kila mtu anajua kinacho endelea afghanistan
Super power countries wanaweza ku ratibu hizi issues ku create attention kwa ajili ya kwenda kuwafurusha TALIBAN

Maana wanaweza KUA kichaka Cha kuhifadhi uovu.....so lets see.....tutegemee kuona matukio ya aina hii kweny mataifa mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…