COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Aisee ugumu wangu kumbe una ABC za movie?Umesema vema japo nilishasema tangu mwanzo Kuna move inatengenezwa na imebeba mengi zaidi na yanakuja😢😢😢😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ugumu wangu kumbe una ABC za movie?Umesema vema japo nilishasema tangu mwanzo Kuna move inatengenezwa na imebeba mengi zaidi na yanakuja😢😢😢😢
Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.
95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
- kuongopea umma
- kujustify propaganda walizozisambaza.
- Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya umma).
5% ya matukio ya kigaidi yanaweza kuwa halisi. Na hawa malengo yao makuu ni kulipiza kisasi.
Sijui huyu jamaa alikuwa na malengo gani....
Kwa tz halijawaji kutoka tukio halisi zaidi ya kutengenezwa kwa kumbukumbu zangu.
Kwa uoni wangu hili ni tukio la kutengenezwa. (False flag terror), Hata risasi zaweza kuwa si halisi ni baruti au rubber bullets.
False flag terror kivipi;- kavaa kofia ili tukio linasibishwe na Uislam.
Nimesikia ktk mitandao huyu jamaa alikuwa akitamka Mbowe si Gaidi, Mimi ndie Gaidi.
Ili kuthibisha kuwa tukio hili ni halisi inahitajika kwanza
Tunahitaji picha za waliouwawa,
Tunahitaji kuwaona ndugu zao halisi wakithibitisha huyo Gaidi wa kutengenezwa
Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola.
Naamini CCTV zilizopo pale zitaonyesha alifikaji.
Tukio lile limetokea katibu na
- Askari wanaokaa muda wote pale kwenye kona ya kuelekea Masaki.
- Makao makuu ya jeshi,
- Kituo cha Polisi Selenda
- bank ya stanbic, ubalozi wa ufaramsa, Japan na Russia.
- nyumba za wastaafu kadhaa wa JWTZ.
Kama muhusika na tukuo hili si mwenye matatizo ya akili, basi litakuwa ni tukio la ugaidi wa kutegenezwa.
++++++++++++++++++++
Majibu ya maswali niliyouliza yanaanza kujibuwa.
Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola.?!?!
Sikiliza aliyeshuhudia
Link
Alaa nimeshtuka kweli kumbe ni kipande cha muvi clip/kilikuwa kinarekodiwa nikajua kweliAisee ugumu wangu kumbe una ABC za movie?
Hii nimeielewa sana. Gaid lazma apange mapema sio anakurupukaNi tukio la kutengeneza.Gaidi huwa hapigi risasi randomly.Gaidi huwa ana specific target at specific time.Subiria serikali jioni itaanza kujichanganya yenyewe na kujikuta inaanika ukweli wote bila ya kukusudia kwa sababu hawakuwahi kuwa na akili.
Raia 3 si kweli...ninachojua ni askari polisi wawili ndio walivamiwa wakafaUmepagawa, raia 3 wamekufa wewe unasema la kutengenezwa.... kama una akili timamu utagundua hili, jamaa alipanga tukio peke yake ndiyo maana kauawa na picha za video na mnato zinathibitisha hilo...
Gaidi hawezi kuingia barabarani na kuanza kupiga risasi ovyo bila ya kuwa na malengo maalum.Hii nimeielewa sana. Gaid lazma apange mapema sio anakurupuka
Hadi sasa polisi imethibitisha mambo mawili.Umepagawa, raia 3 wamekufa wewe unasema la kutengenezwa.... kama una akili timamu utagundua hili, jamaa alipanga tukio peke yake ndiyo maana kauawa na picha za video na mnato zinathibitisha hilo...
Kwani mwendawazimu hawezi kuuwa?!?!Daaah yaani we mwandishi usamehewe tu,watu wamekufa unasema false flag cjui nini,anyway ndio madhara ya kukurupuka kutaka kuwa wa kwanza kutoa mada bila uchunguzi zaidi,acha kukurupuka mzee.
Kapigwa risasi ya kichwa na nyingine nyingi tu huyo kafa fuatilia video zilizo sambaaBaruti au rubber bullets. Na siamini jamaa kauwawa hadi nishudilie anazikwa. Tusije kuambiwa kaenda kutoswa baharini kama Gaidi Osama.
Kwa uongo wa siro inawezekana sana. mmesahau ya kutekwa kwa Mo sinema yake etc etc etcKwahiyo hata waliokufa ni uongo, hajafa mtu yeyote pale
Hata Hitler alivaa kofia kama hiyo!!Kofia tu aliyovaa inaashiria ni GAIDI, sijui kwanini hii Imani imekuwa na wahalifu wengi sana