Mi jubilee hebu kujeni hapa kidogo..Hii ndio hali ya shule za msingi kenya?

Hata wewe hauna akili.Tunafanana.Hawa watoto wanaweza wakajengewa madarasa .Hili janga lina suluhisho. Je, wale waliochinjwa huko mnaweza kuwafufua?
Jiangalieni kwanza
 
Hata wewe hauna akili.Tunafanana.Hawa watoto wanaweza wakajengewa madarasa .Hili janga lina suluhisho. Je, wale waliochinjwa huko mnaweza kuwafufua?
Jiangalieni kwanza
Wale wajaluo mnaowapiga risasi in hundreds kila uchaguzi, na wale mnaowaua mkisingizia terrorists mtawarudisha?. Kwa kila mtanzania mmoja anayekufa kutokana na crime, kuna wakenya 200 wameuliwa,.

Hapo Nairobi kwa kila siku watu 10 lazima watapigwa risasi na majambazi au POLISI, huko Mandera watu wanakufa kila siku. Hiyo nchi yenu ni hovyo sana kiusalama, kumbuka sisi tupo namba 51 na ninyi mpo namba 123 duniani kwa amani, kamwe msijilinganishe na sisi, ninyi ni" Failed state"
 
Kuficha upumbavu siyo unafiki, bali ni hekima. Yaani kwa hali hiyo hapo unajaribu hata kuongea upumbavu kama huu. Au kw sababu siyo watoto wako ndiyo unanyanyua mdomo. Kuwa na ubinadamu japo.
Acha unafiki kaka.Huwa umejificha wapi watoto wakichinjwa huko na hupiganii haki zao? Stop being dramatic.
 
Kumbuka dead state (Tanzania) ndiyo nchi ambayo imejaa watu wasio na furaha na depressed ukanda huu.Nadhani ni kwa sababu ya kunyimwa Uhuru wa kujieleza. Dikteta anawaongoza kama kondoo.
Watoto wakichinjwa, unatarajia wazazi wawe na furaha? Watakuwa wamenuna kila wakati huku wanaumia moyoni lakini hawawezi Fanya lolote kisa viongozi ndio wanachinja watoto ili washinde uchaguzi.
 
Jambo la kusikitisha ni wake wajaluo na makabila mengine huko kwenu yanapouliwa na wakikuyu na kutengwa katika ajira na uongozi serikalini, lakini bado wanacheka na kuonyesha furaha kwasababu waneshazoea maisha ya kutengana, kuuana na kubaguana. Eti mpo namba 123 kwa amani duniani, mpo namba moja Africa on police killings na bado mnafurahaa, kweli ninyi ni "Failed state".
 
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
 
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
 
Hiyo ni economic indicator ya hiyo nchi ,jamani tuache kupika data
 
Reactions: Oii
Hakuna uupuzi kama huu Tanzania..Wacha kutafuta picha za mozambique na malawi ujifariji..
 
Buda mbona umewashwa sana.
 
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
Sasa boss, kweli unalinganisha hiyo ya tz na ya kwenu
 
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
Lete ushahidi kama hapo ni Mtwara, vinginevyo tutaokota picha za South Sudan tuziweke hapa tuseme ni Kenya. Hiyo yenu hapo tumeichukua kutokana kwenye TV na Magazeti yenu, hamuwezi kubisha
 
Hata wenzetu wa Europe na US wapo people masikini wa level ya kuwa beggars, sioni ipo mushida kuleta thread kwa jukwaa ya kukashifu kuwa eti tuko na poverty, Poverty ni poverty sema iko na tofauti county na country, means absolute poverty and relate poverty so tuko nakubali students ktk hiyo situation
 
Finally, a Tanzanian with a brain. It's hard to find one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…