Mi jubilee hebu kujeni hapa kidogo..Hii ndio hali ya shule za msingi kenya?

Mi jubilee hebu kujeni hapa kidogo..Hii ndio hali ya shule za msingi kenya?

Ungekua na akili, ungetofautisha kati ya vitendo vya uhalifu na vitendo vitokanavyo na ulafi, uzembe na rushwa.
Kenya katika uhalifu bado mnaongoza Africa, katika uzembe na serikali legelege inayoshindwa kuhudumia wananchi wake, pia mnaongeza. Hivi mbawezaje kuwalinda wabunge, CSs, Governors, na Senators wote 24/7, mshindwe kuwajengea hao watoto madawati?, hata Marekani Senators hawalindwi 24/7 kwa gharama za serikali, hovyo kabisa ninyi.
Hata wewe hauna akili.Tunafanana.Hawa watoto wanaweza wakajengewa madarasa .Hili janga lina suluhisho. Je, wale waliochinjwa huko mnaweza kuwafufua?
Jiangalieni kwanza
 
Hata wewe hauna akili.Tunafanana.Hawa watoto wanaweza wakajengewa madarasa .Hili janga lina suluhisho. Je, wale waliochinjwa huko mnaweza kuwafufua?
Jiangalieni kwanza
Wale wajaluo mnaowapiga risasi in hundreds kila uchaguzi, na wale mnaowaua mkisingizia terrorists mtawarudisha?. Kwa kila mtanzania mmoja anayekufa kutokana na crime, kuna wakenya 200 wameuliwa,.

Hapo Nairobi kwa kila siku watu 10 lazima watapigwa risasi na majambazi au POLISI, huko Mandera watu wanakufa kila siku. Hiyo nchi yenu ni hovyo sana kiusalama, kumbuka sisi tupo namba 51 na ninyi mpo namba 123 duniani kwa amani, kamwe msijilinganishe na sisi, ninyi ni" Failed state"
 
Kuficha upumbavu siyo unafiki, bali ni hekima. Yaani kwa hali hiyo hapo unajaribu hata kuongea upumbavu kama huu. Au kw sababu siyo watoto wako ndiyo unanyanyua mdomo. Kuwa na ubinadamu japo.
Acha unafiki kaka.Huwa umejificha wapi watoto wakichinjwa huko na hupiganii haki zao? Stop being dramatic.
 
Wale wajaluo mnaowapiga risasi in hundreds kila uchaguzi, na wale mnaowaua mkisingizia terrorists mtawarudisha?. Kwa kila mtanzania mmoja anayekufa kutokana na crime, kuna wakenya 200 wameuliwa,.
Hapo Nairobi kwa kila siku watu 10 lazima watapigwa risasi na majambazi au POLISI, huko Mandera watu wanakufa kila siku. Hiyo nchi yenu ni hovyo sana kiusalama, kumbuka sisi tupo namba 51 na ninyi mpo namba 123 duniani kwa amani, kamwe msijilinganishe na sisi, ninyi ni" Failed state"
Kumbuka dead state (Tanzania) ndiyo nchi ambayo imejaa watu wasio na furaha na depressed ukanda huu.Nadhani ni kwa sababu ya kunyimwa Uhuru wa kujieleza. Dikteta anawaongoza kama kondoo.
Watoto wakichinjwa, unatarajia wazazi wawe na furaha? Watakuwa wamenuna kila wakati huku wanaumia moyoni lakini hawawezi Fanya lolote kisa viongozi ndio wanachinja watoto ili washinde uchaguzi.
 
Jambo la kusikitisha ni wake wajaluo na makabila mengine huko kwenu yanapouliwa na wakikuyu na kutengwa katika ajira na uongozi serikalini, lakini bado wanacheka na kuonyesha furaha kwasababu waneshazoea maisha ya kutengana, kuuana na kubaguana. Eti mpo namba 123 kwa amani duniani, mpo namba moja Africa on police killings na bado mnafurahaa, kweli ninyi ni "Failed state".
 
darasaa.jpg
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
 
News
Photos of school children in Kilifi sitting on bricks submerged in water go viral
By Fay Ngina | Updated May 09, 2019 at 14:27 EAT
1.1kShares
Share

whatsapp.svg

photos-of-school-children-in-kilifi-sitting-on-bricks-submerged-in-water-go-viral
School children in Kilifi sitting on bricks
SUMMARY
The photos circulating online show some students sitting while others standing on bricks which have submerged on water due to the ongoing rains
Several concerned Kenyans took to Twitter and questioned the leadership of the county

Kilifi County is on the spot after photos of students sitting on bricks went viral on social media on Thursday morning 9 May.

The school which has been identified as Mangororo Primary School is located in Jaribuni Ward, Ganze Sub county.
FILE-1557396495.jpg

The photos circulating online show some students sitting while others standing on bricks which have submerged on water due to the ongoing rains.
FILE-1557396520.jpg

Several concerned Kenyans took to Twitter and questioned the leadership of the county.

FILE-1557396540.jpg

When contacted, the Kilifi County Governor Communications boss Mr James Mulei told Ureport that the Governor will soon give a statement on the issue.
FILE-1557396720.jpg

Later, the Ganze Member of Parliament (MP) Teddy Mwambire responded to issue saying that there are over 30 schools in the same state.
Mwambire also blamed leadership from the previous administration citing that there was no proper planning.
The Ganze MP said he will look for funds through donors and harambees to help cater for the schools since the Constituency Development Fund (CDF) is not enough.
The MP concluded by saying that they will discuss with the boards of schools on how to start new projects using the remaining money from the last administration.
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
1093470
 
1557503331452-png.1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
1557503439728-png.1093470
 
Hiyo ni economic indicator ya hiyo nchi ,jamani tuache kupika data
 
  • Thanks
Reactions: Oii
HILI NIDARASA LA KWANZA KAMA WALIVYO NASWA NA MPIGA PICHA HUKO NGORONGORO UMASAINI jamii hii ya wafugaji ambao nimasai maisha yao ya kuhama hama je ndio kiini cha kukosa ELIMU je wanahitaji elimu?? nashule kama hii inawalimu au ni mila na desturi !! HAPA TANZANIA AU MSUMBIJI!!!

1557503331452-png.1093469

BADALA YA KUJENGA HOSPITALI WAMEJEGA JENGO CCM KWANZA ILI WAPAGE VIZURI VIPI WATAWAIBIYA WANANCHI NA KUWADANGANYA NA MAENDELEO YA MDOGO MIAKA 50 NA USHAIYA ...
1557503439728-png.1093470
Hakuna uupuzi kama huu Tanzania..Wacha kutafuta picha za mozambique na malawi ujifariji..
 
hhhhhh...cc joto la jiwe..kumbe skycrapers na malls huaga zinakuuma..alafu GDP ndio naona inawaumiza sana...2022 GDP $150billion...

usijali mtafika tu..sai malizaneni na upinzani kwanza...kuhusu slum mbna nairobi ziko...tatizo middle class kwenu ni wale watu wanaoishi katika dream houses...bwahahaaaa...unafikiri mzungu ni mjinga kuita soweto a slum alafu mitaa ya dar kuicha...sababu hzo dream houses ziko karibia 70%ya dar..akaona dar ibaki tu kuitwa fishing village
Buda mbona umewashwa sana.
 
darasaa.jpg
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
Sasa boss, kweli unalinganisha hiyo ya tz na ya kwenu
 
darasaa.jpg
Hii nayo ni darasa pia, kule Mtwara, Tanzania alafu picha kama hizi huwa haziibui hisia zozote, kama za wakenya, kutoka kwa watz. Kenya haina lolote la kujifunza kutoka kwa elimu finyu ya Tz.
Lete ushahidi kama hapo ni Mtwara, vinginevyo tutaokota picha za South Sudan tuziweke hapa tuseme ni Kenya. Hiyo yenu hapo tumeichukua kutokana kwenye TV na Magazeti yenu, hamuwezi kubisha
 
Hata wenzetu wa Europe na US wapo people masikini wa level ya kuwa beggars, sioni ipo mushida kuleta thread kwa jukwaa ya kukashifu kuwa eti tuko na poverty, Poverty ni poverty sema iko na tofauti county na country, means absolute poverty and relate poverty so tuko nakubali students ktk hiyo situation
 
Finally, a Tanzanian with a brain. It's hard to find one
 
Back
Top Bottom