dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Huku ukija kwa lengo la kujifunza huta ambulia chochote, sababu watu hawavai uhalisia. Unakuta mtoto mdogoo nyuma ya keyboard anamjibu mzee kama Mr. Rocky kwa dharauLol, si unajua kuna watu wajinga mpaka unashangaa wametokea sayari gani
Hahahaaa..ila utapatwa na mshangao wa karne pale utakapo kutana na hao wasema hovyo, wajuaji na wenye hizo range.....Lol, si unajua kuna watu wajinga mpaka unashangaa wametokea sayari gani
Usiniulize yaliyonikuta wakati huo nilidhani hawa woote humu wanaandika maisha yao halisi humu..