Mi mgeni humu na huu mtandao nimeupenda naomba utaratibu tuende sawa

Lol, si unajua kuna watu wajinga mpaka unashangaa wametokea sayari gani
Huku ukija kwa lengo la kujifunza huta ambulia chochote, sababu watu hawavai uhalisia. Unakuta mtoto mdogoo nyuma ya keyboard anamjibu mzee kama Mr. Rocky kwa dharau
Lol, si unajua kuna watu wajinga mpaka unashangaa wametokea sayari gani
Hahahaaa..ila utapatwa na mshangao wa karne pale utakapo kutana na hao wasema hovyo, wajuaji na wenye hizo range.....

Usiniulize yaliyonikuta wakati huo nilidhani hawa woote humu wanaandika maisha yao halisi humu..
 
Karibu sana katika mtandao bora wa jamii forum,
Utajifunza mambo mengi ikiwemo
1. Urembo
2. Siasa
3. Utamaduni
4. Maisha ya sasa na ya kale.
5. Mahusiano na mapenzi kwa ujumla.
6. Biashara.
7.elimu mbali mbali
8. Kazi katika sekta mbali mbali.
9. Dini
Na kadhalika......

Karibu sana mgeni
endelea kufurahia nasi watanzania wenzio katika mtandao huu bora kabisa.
 
Dikembe, watu wamekubania like lkn sijaelewa kwa nini umeamua kutuponda hivi. Sisi tupo Wa aina zote, weupe,weusi, warefu, wafupi na zaidi ya yote sisi wote ni wapana hasa. Hakuna anayetaka wembamba kifikra.
 
Samahan wana jf natanguliza shukran mi mgen na mtandao huu nahitaji kujua matumiz yake mana napata shida kidogo

Nb:jokes sio nzuri

Ni mgeni kweli. Hii ni Jamiiforums ni jukwaa huru. Pole na jokes zipo sasa sijui utarudi ulipotoka au utagugumia tu. baadhi yetu akili ni nyingi sana mpaka tunatiliana mashaka upo.
 
Asante mkuu
 
Ni mgeni kweli. Hii ni Jamiiforums ni jukwaa huru. Pole na jokes zipo sasa sijui utarudi ulipotoka au utagugumia tu. baadhi yetu akili ni nyingi sana mpaka tunatiliana mashaka upo.
Mmmh sawa mkuu jokes nimeona kumbe ni za kawaida ntavumilia
 
kuwa makn na unachoongea.tuko weng sana humu na simba wako humuhumu.
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa
 
Mgeni akisha Changanyika na wenyeji huyo si mgeni tena
 


hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…