Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

mke wa mtu sumu. huyo jamaa aache tabia hiyo kwani itampeleka pabaya. siku zote majuto ni mjukuu.
 
Kaka angalia wapi unakosea ukiwa na mpenzi wako, pili anza kumkanya mpenzi wako, tatu kuna jela wakati wewe ukiwa jela watu watajilia kiulani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana kaka ake.

Ila zile story zako zile ujue ndio sababu. Hahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…