Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Duuh bro umeandika kwa hasira na uchungu ndani yake mpk imenitouch.... wajinga hawawezi kuelewa ila kiukweli mpenzi unayemgharamia halafu anakuja boya flan anamega kisela inauma sanaaaa eti "good girls wanapenda bad boys" pumbavuuuuu kwann usimfukuze huyo kicheche akabinuliwe vizuri na huyo anayemlowesha chupi kwa meseji.
 
Hua sishangai watu aina yako mnauawa kwenye mafumanizi
 
Samahani Broo nimejitokeza kwa usalam wangu bila kushurutishwa naniwaz utanisamehe.Nilipitiwa nankunogewa na zile text but its only chatting sijawaza mashambulizi zaidi.Ila hongeta yaonekana wafaidi.
 
Huyu anayesemwa ambaye inshort ameshajulikana baada ya comments zake kujieleza wazi ni kwamba ajue haya mambo sio marahisi, huez jua mtu amehifadhi nini moyoni mwake, nimeona tambo na majigambo ya huyo jamaa anayesemwa hapa, na hilo liko wazi ni yeye, na anajigamba zaid kwamba anao wengi humu na hatishiki, ajue tu maisha yake yako hatarini, pengine sio mleta mada tu peke yake kuna wengine labda wanamuangalia tu, watu aina ya mtoa mada katika hali kama hii na msg kama.hii anaweza fanya lolote, kama hilo tukio la 2015 amelifanya yeye basi niseme tu anayesemwa humu bora amtafute mtoa mada amuombe msamaha yaishe kwa amani ila tambo na majigambo hayatasaidia kitu sana sana yatampelekea anayejigamba in his early grave ...kuna watu wana uchungu na hawnaa uvumilivu kwenye mambo kama haya...
Na kwa huyo dada hakuna namna ya kumdescribe mana tabia yake inajionesha wazi
 
tafuta simulizi inaitwa ulaaniwe au nyingine inaitwa report kamili yani visa vimeendana kabisa.
mtunzi George misenya msimulizi Ruhundwa.
 
Mkuu unapiga mkwara namna hii na wakati bado mchumba,ukifunga nae ndoa si utatumaliza mkuu!

Kingine kuanzia leo tambua ya kwamba mchumba hasomeshwi,kwa mambo yanavyoenda kuna siku huyu mchumba wako atakuja kukutema,utakuja kufa bure mzee
hahah
 
Huyu yaweza kuwa humpi dushele la kutosha au huyu mwanamke wako ni malaya sana ,Ila hata hivyo kitanda hakizai haramu .
 
Naomba ID yake huyo demi nimcheki pm analoweshwa kwa maneno basi ni supu ya ukweli si vizuri kuikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…