Huyu anayesemwa ambaye inshort ameshajulikana baada ya comments zake kujieleza wazi ni kwamba ajue haya mambo sio marahisi, huez jua mtu amehifadhi nini moyoni mwake, nimeona tambo na majigambo ya huyo jamaa anayesemwa hapa, na hilo liko wazi ni yeye, na anajigamba zaid kwamba anao wengi humu na hatishiki, ajue tu maisha yake yako hatarini, pengine sio mleta mada tu peke yake kuna wengine labda wanamuangalia tu, watu aina ya mtoa mada katika hali kama hii na msg kama.hii anaweza fanya lolote, kama hilo tukio la 2015 amelifanya yeye basi niseme tu anayesemwa humu bora amtafute mtoa mada amuombe msamaha yaishe kwa amani ila tambo na majigambo hayatasaidia kitu sana sana yatampelekea anayejigamba in his early grave ...kuna watu wana uchungu na hawnaa uvumilivu kwenye mambo kama haya...
Na kwa huyo dada hakuna namna ya kumdescribe mana tabia yake inajionesha wazi