Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure


[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Nishamsalimia tayari. Hahahaaaa.
 
Reactions: BAK
mchumba? unatoka pooovvu kwanza alokuAmbia mchumba anaasomeshwa ni nan? ushaur wangu mzalishe kwanza
 
Unyama unyama kwenye mapenz sijawaicheka na Kima hata kidogo ukileta umburula lazma uje kufanyiwa kituko mpaka uhisi kumeza chupa na huji nisahau kuna mwenzio ashafanyiwa umafia hawez sahau hapaa chezea toto toka Kigali.
...teh hee hee...nimesanuka unapiga soga,
..niongezee gahawa na tangawizi!
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Good job Emmy.

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Nishamsalimia tayari. Hahahaaaa.
 
[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1417][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Good job Emmy.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Thank you much BAK. [emoji7]
 
Reactions: BAK
Pole Mkuu.kwa mtizamo wangu inaonekana hujajitambua! Anza kwa kubadili tabia kama huwezi badili mchumba.kama vyote huwezi mshawishi mchumba wako hata kwa kutumia mamlaka yako kama Mme mtarajiwa kuliko kuleta vitisho jukwaani kwa mwanaume mwenzako.kama unajuwa id yake mfate inbox.ungekomaa mchumba wako angekupa namba zake za simu muwasiliane nae.
Ya nini thread ndeeefu imejaa woga wa kumpoteza mchumba ambaye umeshindwa kumchekesha hata kumdhibiti!
Kuwa serious na mahusiano yako haimaanishi uwe serious na umpendaye 24/7.
Kama unataka kuendelea kuwa serious kwenye mahusiano yako tafuta mtakaeendananae.
Take it or leave it!
 
Mkuu usipende kuwakagua hawa viumbe .achana nasimyake unakagua mpaka kufikia kujua Id yake yanini ?utashindwa kufanya kazi bure .
 
mshikaji basi yameisha bwana nakuachia demu wako ila usichokijua mimi ndio nilianza nae sema nilimfanya kama cha mchezo changu tu cha kuimarisha ujana na udume tu !
usimaindi so mchokonoi tena mkuu tusije oteshana mabusha bure a k.a "makende bora"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…