Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

KUMBE we nae mbea ivi mweeeeee....monicca fala sana
Ndugu mi mbea,yaani kama umbea taasisi basi mi ndio mwenyekiti,kama shule basi mi headmistress. kulowa kwa thread za uongo jf ni ushamba kiwango cha SGR,kama barabara kiwango cha lami.
Halafu katufanya watu tumjue,ningekuwa mimi ningekausha tu. Nikampotezea chalii nikaomba msamaha kambini nikarudisha majeshi. Sasa umesaidiwa miaka yote halafu unaleta ujinga kwa thread za jf...smelling kabitch
 
hahahahaha
 
kiukweli kuna thread ukisoma una ishia kucheka ni ushamba sana uki kaa chini kufikilia.....kama una jua yupo humu mcheki inbox au una hitaji achambwe......hahahaha😀
 
inabidi tumchambe tu monnicca aache umalaya halafu ana umalaya wa kifala sana maandishi tu anakojoa
 
inabidi tumchambe tu monnicca aache umalaya halafu ana umalaya wa kifala sana maandishi tu anakojoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namsubiria kule,ashaanza kuquote post zangu namsubiri aingie 18 ajute na umalaya wake wakingese.
 
Kizuri kula na mwenzio [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namsubiria kule,ashaanza kuquote post zangu namsubiri aingie 18 ajute na umalaya wake wakingese.
halafu jamaa alipanga kuoa hahahaha bora kajua mapema anaoa BICHWA BOGA
 
Hii yote ni kwa sababu unamchukulia huyo demu kama property.

Nadhani badala ya huyo member wa humu, ungeanza na demu wako. Maana amempenda mchizi mwenyewe. Biti lako halisaidii. Mtoto keshatekwa. Jifunzeni kuelewa mapenzi.
 
Duh..Pole sana mkuu. Inaonekana huyo mchumba wako anakupeleka mpute mpute sana na hilo Gubegube.
 
Mkuu ulitwambia moto utawaka mbona hatuoni hata moshi.
 
Pole sana, tatizo ndo hilo unayempenda hana mda na wewe, fikiria kwa makini na uongee naye huyo mpz wako.
 
Mwanaume analialia hapa sababu ya papuchi???? Nenda kafanye kazi nyambaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…