A swahili Kid
Member
- Jan 25, 2013
- 39
- 38
Bro pole sana mi ninaona suala la msingi
Ni kumtafuta uyo member uongee nae friendly pengine anafny ivo bila kujua
Sometimes huwa tunafanya vtu km ni sehemu ya tabia zetu na kusahau kuwa tunaweza kuwa tunawakwaza wengine
Mtafute muyaongee muyamalize
Daaaaaah mambo ya kuwasha moto tena mzee baba tutakuwa km Clouds umu afu tukose sehemu ya kutufny tucheke[emoji22]