Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Bro pole sana mi ninaona suala la msingi
Ni kumtafuta uyo member uongee nae friendly pengine anafny ivo bila kujua
Sometimes huwa tunafanya vtu km ni sehemu ya tabia zetu na kusahau kuwa tunaweza kuwa tunawakwaza wengine
Mtafute muyaongee muyamalize
Daaaaaah mambo ya kuwasha moto tena mzee baba tutakuwa km Clouds umu afu tukose sehemu ya kutufny tucheke[emoji22]
 
Pole sana...
Mi naona umtafute muhusika muyaongee friendly muyamalize
Unajuwa kuna muda huwa tunafny vtu km ni sehemu ya tabia zetu na kusahau kuwa tunaweza kuwa tunawakwaza wengine
So mtafute ongea nae tu
Mambo ya kuwasha moto tena mzee baba
tutakuwa km Clouds umu afu tukose sehemu ya kutufny tucheke [emoji22]
 
Hii story yenyewe yakupikwa tu maana umesema unae miezi mitano mara nimemsomesha chuo mpaka kamaliza duh!! Au chuo wanasoma ndani ya miezi mitano halafu mtu anakuwa amemaliza mkuu?
 
dadadadaddekiiiiiiiiiiii kimenuka sasa!!!!
me simooooooooooooooooooooooooo
 
Urudishiwe gharama za nini wakati siku zote ulikuwa unatomba we ulifikiri kuna maku ya bure?

Ha ha ha daah watu mmepinda...aise huyu jamaa ni mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo alikuwa siyo mtumiaji mzuri wa hiyo maku.
 
Back
Top Bottom