Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

JF inapogeuzwa kuwa Usokitabu ni shida!
 
Mkuu hapo huna mchumba. Piga chini tafuta mwingine coz mchumba anayecheka cheka kwenye social media sio mchumba huyo ni kahaba tu.Miez 5 imetosha kabisa kujua huyo sio mwanamke hafai. Piga Windows chini
Sasa mbona miezi mitano na kulipa ada za chuo havioani
 
Sio ujumbe wa GuDume kweli huu... Ila na wewe acha beat za kitoto, badala upambane na huyo mchumba wako unakuja kujiongelesha hapa kuhusu mtu hata usiemjua ila unasoma tu post zake
 
Sio ujumbe wa GuDume kweli huu... Ila na wewe acha beat za kitoto, badala upambane na huyo mchumba wako unakuja kujiongelesha hapa kuhusu mtu hata usiemjua ila unasoma tu post zake

Hahaaa mkuu umenichekesha ngoja akutane na hio njemba impe kipondo..akose vyote mpenzi na kipondo Juu lol
 
Hahaaa mkuu umenichekesha ngoja akutane na hio njemba impe kipondo..akose vyote mpenzi na kipondo Juu lol
Inatishia kupitia keyboard angekua mwanamme wa shoka angemfata kimyakimya halafu alete mrejesho wa alichomfanya... Maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…