Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

hata mimi nilihisi wewe samahani lakini😀😀😀
 
Ulivyoongea, kama ndo uliyekusudiwa vile!!! [emoji1] [emoji1]
 
gudume ana IDs 10 siyo mbili tu. na yako huwa natumia pia wakati mwingine.... 😀😀😀😀 ukikalia kitu chenye nja butu subiri ushuke kwanza. mleta mada hajanitaja na kama angenitaja pia si mbaya..shuka uje tuzoze mamaa... sawa? watoto hawajambo lakini?

Huyu Chizi maarifa ana ID mbili nyingine ni GuDume na huyu anayeemsema ni Gudumume..

kama hua unasoma post za gufume baasi utakua unajua..
 
Pesa hulipwi wala nn,,
Makombora yako yamtishi mtu hapa,, yaaani mchumba ndo nlipe aiseeee,,,, aiseeee nyie wekeni battle afu sie waganga wa jadi tulioko sumbawanga tufaidi pesa zenu ,,,
Cc simpasa og
 
ningekuwa mimi wala sihitaji kupiga biti la namna hii. mambo ya kurogana ni ya kizamani. mi nakufuata face to face nakukamata nakufanya jambo baya sana................ hutonisahau. mnakimbilia kutaka kuoa wakati mioyo yenu bado dhaifu.......... halafu na wewe mwanaume unajikuta huna michepuko ndo maana roho inakuuma .we ungekamata mchepuko mmoja au miwili humu ndani unaendelea kujigongea. halafu huyo mchumba humwambii anything aendelee tu kuloweshwa kama anaona fahari.
 
Ungemtagi na copy ya hii post yako mtumie PM itapendeza zaidi
 
الشتيمة وكلمات قبيحة
 
Gu dume kwanza mm ni Kidume..

Ww nafaham vzr tone za uandishi wako, na tunajua hii id ni yako hata kama unazo mia..
 
Na inawezekana mdada hajasema kuwa ana mwenza wake. Mtoa mada aanze kumuadabisha wifi yetu ndo mengine yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…