Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Kuionya jamii kwamba watu wasiwe na mahusiano na mchumba wako ni sawa na kutaka kuweka zulia dunia nzima ili tu mguu wako usikanyage mchanga chini.

Ni kazi kubwa sana halafu ya kijinga sana.

Unaweza kukataa kukanyaga mchanga chini kwa kuvaa kiatu tu.

Unaweza kuzuia dunia nzima isiwe na mahusiano na mchumba wakokwa kuongea naye tu.

Na kama huwezi, na hutaki umaaluni huo,huyo hafai kuwa mchumba wako.
 
mkuu kama K inakuja haijabaandikwa label kuwa inamilikiwa na mtu flan mi ntajuaje? mke au mchumba wa mtu anajijua yeye..... mi ntajuaje? maisha ya kutishana ya zamani sana. yeye a deal na huyo mchumbawe... kama mchumba anapenda mastory ya mtu ya kitaani sioni kosa.... na kuloweshana ni jambo jema tu maybe watu wanamsaidia kumwandalia halafu ye ale tu???????????? ila msiniuzie mimi kesi labda huyo galadudu.... mi nina marafiki wengi wa kike humu ndani na tunajichanganya kwa stories mbalimbali wanaweza nao kuja kuweka ushahidi wao... mimi ntampasua mtu ooohhhooooh.... mambo ya kigagula siwezi.
hahahaha umetupa mpira kwa galadudu hahahah
 
Huyu ni GuDume kabisaa. Kula mbunye hiyo mkuu huyu mshamba aendelee kulia lia hapa
 
Inabidi tukukalishe chini mie na Pacha wangu utueleze kinaga ubaga kulikoni hicho kiuno. [emoji2] [emoji2]

Hatuwezi kukubali uendelee kuwa hivyo aisee.
Kwani nyie ni waganga wa kienyeji? Kubalina na hali hakuna matumaini tena hata mkinikalisha juu. Tumaini ni akina GuDume sie ni kupiga chabo tu.
 
Yaani kama kuna mwanamke anaamini story za humu ni mjinga kweli!!!
Upoteze mtu wako wa future sababu ya hadithi za kusadikika???? Ongea na huyo mchumba wako tu hamna namna ingine, zaidi wazidi jichoresha tu
word from a wise woman/lady
 
Na nyinyi mue mnachagua kati ya raha na maendeleo wengine uwezo wa kuchekesha hamna wanawazo pesa kwa ajili ya maisha ukitaka kuchekeshwa muache nenda kwa anae kuchekesha sio mnataka vyote.

Mmmmh
Sasa umeniandikia kitu gani!!!
 
We huna maana. Kwahiyo aendelee kufurahia demu wake anavolowanishwa?

Kwanini usibadilishe sentensi yako ikaishia na nukta.. kwasababu huwezi kunipangia la kuandika humu.. jali yako.. mie nimempa ukweli.. ungetumia akili ungefikiria nje ya boksi.. ila upo upo tu..
 
Hawa mabinti wa chuo bana hawariziki kabisa wanawashwawashwa kweli yaani story tu amekojoleshwa je akikutana na ze duduzi si atakunya kabisa aise
 
wadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.
Mama Sabrina liked this!!!
 
Dah ni ndefu kusoma..em fupisha..
Taja jina lake
Mahali anapoishi
Inaweza kuwa kanyambia hana mchumba au kanyambia wewe ni kaka yake
 
Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.

Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.

Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.

Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"

Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.

Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.

Nimetoa tu hili kama angalizo.
Pole sana shukuru hujamwoa bado na umeanza kuona hayo, kaa chini fikiria kwa kichwa "halisi" then chukua hatua (kuishi na mtu ambaye mashaka yatazidi au kumtema mapemaaa), akishawafia watu wenye sifa tofauti na wewe utaishi maisha ya kujilaumu sana. Unajua ukipenda mtu wa kujichanganya (hata kama sio Malaya) halafu wewe ni gentleman flan aisee mpaka umwelewe uta suffer sana, oa mnayeendana character
 
Kwani nyie ni waganga wa kienyeji? Kubalina na hali hakuna matumaini tena hata mkinikalisha juu. Tumaini ni akina GuDume sie ni kupiga chabo tu.
Akaaaa. Uganga na sie wapi na wapi jamaani hebu wacha kutuonea.

Ila kwa kuwa ushakata tamaa wacha na sie tukate tamaaa. Hahahaaa.

Usiku mwema Mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom