Mi ni mnyonge? Sielewi. Ninyonge ninyongeni haki yangu nipeni

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini?
Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi nguvu ya kututumikia? na Taifa litaendeleaje?

Kama mnyonge ni maskini kama mimi niambiwe maana nachanganyikiwa sana. Mfano:Leo hii hapa jimboni mgombea kastaafu kapewa kiinua mgongo million mia tatu samanini bila kikokotoo nae kapanda jukwaani anajiita mnyonge mwenzangu nimchague. Nimechanganyikiwa mnyonge ana vieite anameremeta kama nini anatambulisha mwenzio wake na familia nguo zao hazijapauka kama zangu nae ni mnyonge??

Nasema mi mnyonge ninyongeni haki yangu nipeni, napoelekea nitawapasulia chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…