Mi nmeshangaa leo Mama yangu Mzazi akiongea haya maneno hadharani, halafu hata hajajali

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
3,289
Reaction score
5,964
Kuna Walebanese walikuja tangu ijumaa, jana wakamualika Mzee na watu wengine chakula, baada ya kula tukiwa tunarudi nyumbn Mama akasema ujue nguo ya kuazima haisitiri Mat*ak..

Hata hajajali tupo na kina nani au kama na mie nipo hapo, hakutumia Tafsida hata Sasa je angekuwa mlevi ingekuaje.

Nimeshangaa sana Lakini amejua kuwa wote tumeshangaa ameongea hivyo
 
Wote mlioshangaa ni Majuha kweli-kweli. Kwani huo msemo aliutunga/aliuibua yeye? Mbona ni msemo wa siku nyingi? Nyie washangaaji mlitaka aseme makebo ndo mngetulia? - Acheni viungo vya mwili viitwe kwa majina yake halisi
 
LEAVE HER ALONE 🤬🤬🤬🤬
 
Wote mlioshangaa ni Majuha kweli-kweli. Kwani huo msemo aliutunga/aliuibua yeye? Mbona ni msemo wa siku nyingi? Nyie washangaaji mlitaka aseme makebo ndo mngetulia? - Acheni viungo vya mwili viitwe kwa majina yake halisi
 
Au umeazima shati ?
 
Mtu kutamka matako unaona ajabu?tusi angetamka (ashakumu si matusi ila ni tusi) "******" ndiyo ungejipa alama ya kujiuliza na ameitamka kama methali methali haipaswi kupunguzwa kitu ili igonge namna inayotakiwa.

Tafadhali usimsingizie Bi Mkubwa ubaya.
 
Sio matako wewe ni matakwa
Acha ujinga
 
Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max
Hata hawaijui hiyo methali
Jaman ni matakwa sio matako
Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA
"CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA"
Sio matako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…