Mi nmeshangaa leo Mama yangu Mzazi akiongea haya maneno hadharani, halafu hata hajajali

Mi nmeshangaa leo Mama yangu Mzazi akiongea haya maneno hadharani, halafu hata hajajali

Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max
Hata hawaijui hiyo methali
Jaman ni matakwa sio matako
Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA
"CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA"
Sio matako
  • Nguo ya kuazima haisitiri matako (au haisitiri maungo)
    • Maana: Huwezi kutegemea kitu cha kuazima kikae nawe au kukupa staha ya kudumu, kwani wakati wowote mwenyewe anaweza kukitaka na kuacha umepata aibu
 
Back
Top Bottom