Mi nmeshangaa leo Mama yangu Mzazi akiongea haya maneno hadharani, halafu hata hajajali

Hiyo ni methali.
 
Sasa hapo kwamba mumeshangaa kitu gani hasa? Itakuwa munaishi kinafiki sana huko kwenu
 
Kwahiyo sisi tukusaidiaje au tufanye nini sasa?

Hili nalo ni la kulianzishia uzi?
 


Kwani uongo, nguo ya kuazima haisitiri matako AKA makalio?
 
Samahani mkuu......
Kwani mlikua mnashangaa mkiwa kijiji gani??
 
Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max
Hata hawaijui hiyo methali
Jaman ni matakwa sio matako
Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA
"CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA"
Sio matako
We jamaa Muongo,
Methali inasema "nguo ya kuazima haisitiri matako" hakuna methali kama hiyo uliyosema wewe kwamba "cha kuazima hakisitiri matakwa."
Usitufanye vilaza
 
Sasa hapo kwamba mumeshangaa kitu gani hasa? Itakuwa munaishi kinafiki sana huko kwenu
Mi sjawahi kumsikia akiongea straight hivyo wakati mi mtoto wake wa kiume nipo hlf na Babu mdg pia
 
Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max
Hata hawaijui hiyo methali
Jaman ni matakwa sio matako
Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA
"CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA"
Sio matako
Uongooo!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa sielewi kwanini Kiswahili ni lugha yenye aibu sana. Imagine msemo huo angeusema kwa Kingereza wala husinge shangaa.
Mfano maneno Penis or vigina hayana ukakasi wowote kwa Kingereza lakini kwa Kiswahili ni aibu. Hata ukiandika maneno hayo kwa Kiswahili hapa JF unaweza kupigwa BAN.
 
Matako sio matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…