Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,949 Reaction score 8,590 Oct 13, 2026 #41 mbarika said: Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max Hata hawaijui hiyo methali Jaman ni matakwa sio matako Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA "CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA" Sio matako Click to expand... Nguo ya kuazima haisitiri matako (au haisitiri maungo) Maana: Huwezi kutegemea kitu cha kuazima kikae nawe au kukupa staha ya kudumu, kwani wakati wowote mwenyewe anaweza kukitaka na kuacha umepata aibu
mbarika said: Kumbe wote walio comment ni vilaza pro max Hata hawaijui hiyo methali Jaman ni matakwa sio matako Huyo bibi kama alisema matako kakosea ni MATAKWA "CHAKUAZIMA HAKISITIRI MATAKWA" Sio matako Click to expand... Nguo ya kuazima haisitiri matako (au haisitiri maungo) Maana: Huwezi kutegemea kitu cha kuazima kikae nawe au kukupa staha ya kudumu, kwani wakati wowote mwenyewe anaweza kukitaka na kuacha umepata aibu