Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Mnasahau ukimwi Ni hatari kwa kuhongwa haya magari majumba na mavumba baadae afya zinayumba
 
Nanyupu kwa kugha ya kwetu ni sehem ya kutolea kinyesi
 
Nanyupu kwa kugha ya kwetu ni sehem ya kutolea kinyesi
Hili jina nilitoa mozambique nilikokua nimeenda kiutafutaji ni kijiji ambacho kiko wilaya ya montepuez mkoa wa cabodeligado
 
Nna uhakika asilimia 100% baada ya miezi michache tu utawaomba mods wakusaidie kuufuta huu uzi! Si kwa utoto huu!
 
Dogo, acha kuvutia bange chooni. Mwishoe utavaa pedo kichwani.

-Kaveli-
Bange za chooni za kisenge sana afu uwe na eaphone masikion na mdundo Wa maana yaani ukitoka hapo ukiandika jambo lazma ufikiliwe Mara zote
 
Beira mdogo wangu, si juzi ulikuja na uzi wa kwenda shule weee, au umebadikika na kuwa chokoraa tena
 
Hahaha yaani nikafikiri umepata kazi aisee, kumbe umariyoo ndio unakuja kuturingishia hapa,

Ila kweli wewe sio mwenzetu tena maana sisi sio mariyoo kama wewe , endelea kulala kwakutegemea pesa za demu , sisi tunazichanga na tumatumia tunavyo taka sio kusubiri kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…