Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Sasa 50 tho umeshakuwa tajiri yaani unatamba na hela iliyoko mfukoni kwa mwenyewe tena demu hahahaaa mkuu tunasubiri mrejesho zaidi ya huu
 
Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja

Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe

Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala

Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha

Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia

Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Mke wa mtu huyo cku ukiliwa kiboga urudi hapa kutupa mrejesho
 
Wanashauri ukilewa Nenda ukalale usiwakere wenzio
 
Umuri= umri
Hamunaga=hamna
Hivi hizo shule mnazoenda kusoma mnaenda kujifunza ujinga? In "FF voice"
 
Back
Top Bottom