Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Mahusiano mengine ni viburudisho....
Aahahahahaa hii mitandao inafanya watu wanakuwa wehu...😅😅😅😅
Nimeuzoea huu msemo kwenye madaladala konda akianza kudai nauli kunawanaosema mi staff silipi and the like....
Sasa huyu jamaa kaimbisha demu wa watu halafu anaulizwa utatoa shilingi ngapi baada ya huduma akasema yeye staff....!!! 😆😆😆😆
Nimechekaaa kama lafaa 😅😅😅.
View: https://youtu.be/SGAUpe9nEIg?si=_mCcF_5BVb1KmXtC
Ukute hawa wote ni memba wa JF...
Jumapili mwanana.