Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Madon wa Dubai wanamfumua sana siku hiziCherokee ana trip nyingi sana za Uarabuni, Kuna mchizi wangu aliwahi kumuona live anashuka Uwanja wa ndege wa Dubai Terminal 3 na gang yake Beuty Dior, Letha Lipps, Skyy Black, akanicall fasta ka picha akanipatia nikajua dah Mji wa watu ushavamiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona kaposti insta Yuko location ujue Kuna mtu anamhudumia[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app