Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahahah Mimi brauza yangu hukuti ushahidi wowote hata Kama sijawahi pita hukoUkitaka kujua mtu anaangalia porn za kutosha tu. Wewe chukua simu yake uzame kwenye browser uangalie history , ukikosa history nenda zako kwenye downloads , ukikuta hakuna kitu .
Nenda kwenye setting kisha angalia matumizi ya data per app.. unakuta browser kwa week imetumia GB 10 wakati haina history yoyote wala mtu hajadownload kiti chochote[emoji23][emoji23] how?
Unajua tayari jamaa ni member lakini ana ujuzi wa kutumia incognito mode[emoji119][emoji119].
Natoa shout out kwa aliyebuni incognito mode [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app