DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Zaman ndo ilkuaga inagoma kustream,Mkuu ulishajaribu kustream?.. maana mimi kwa knowledge yangu ni kwamba mtu hawezi kucheki live streaming kwenye darkweb sababu zile layers za security na encryption zinafanya mtandao uwe very slow kwahio there is no way unaweza kucheki live.. labda kama ni recorded lakini wanakupa kila kitu hadi behind the scene.
Teknologia inakua kwa kasi Sana.
Skuhz unaweza kustream na still ukaweza kumantain anonymity.
Kikubwa uweze kua na dynamic Ip address
Sent using Jamii Forums mobile app