Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao?
Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za walalahoi kwenda kutembea. Na hapo wameshachaguana si kwamba wanaenda tu....its a tour or picnic kila mtu ana blanket chapa mtu.
Kama mkeo yupo kwenye huo msafara usifurahie anapata per diem. Elewa huko pia anaenda kuwa per diem ya mtu flani. Hii miana siasa ya kiafrika unagundua asilimia 90 plus ni mishetani in human disguise. Haina uchungu na maisha ya kina mama wanaoteseka kuchota maji mbali, wanaofariki wakati wa kujifungua, maisha magumu, elimu na matibabu dhaifu.
"Miafrika ndivyo ilivyo"