Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,319
- 3,004
Nimekuwa JF toka 2016. Nimekutana na mambo mengi. Nimewahi pigika vibaya sana na nikaja pata rafiki ambaye hatukuwahi onana ila tumebaki marafiki.
Nimewahi chukiwa na watu na kutukanwa nao na mpaka sasa mmoja ni rafiki yangu sana. Alikuja nifahamu akaomba radhi na maisha yakaendelea
Humu kuna watu wengi wanavaa vinyago. Wapo wasivyo. They hide their true colors. Na wengine ni wabunge, mawaziri, wakurugenzi,managers n.k wapo humu. Lakini huwezi wajua. Sababu wamevaa vinyago.
Nikiona watu wanagombana naumia sana moyoni .najiuliza wanapata wapi hizo nguvu?kwa nini wasiunganishe nguvu zao na kumsukuma shetani akae mbali?
Nitaelezea mikasa kadhaa nliyokutana nayo na watu wa humu wengine si watu. Sitotaja IDs zao ila nitataja sifa zao.