polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo tumiwa na makarani ni za kiwango cha chini sana lakini nasikia zimeandikiwa pesa ndefu wakati huo kuna watu wanajiita TAKUKURU wapo kuna usalama wapo sasa sijui kazi zao huwa ni zipi kama madili ya kuiba fedha za umma yapo mengi tuu na wao wapo tu.
Makarani wengine hawajalipwa pesa zao hadi sasa na wengine wamepunjwa kwenye pesa ya chakula.
Hii nchi inahitaji reform kubwa sana vinginevyo wananchi wa chini tutaendelea kuumizwa kwa tozo na kodi za hovyo hovyo huku wenzetu huko juu wakineemeka na kusaza.