Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa gani tena kama si tablets. Unataka wabebe na masanduku! Kitu hujui uliza. Zamani tulibeba EA maps, sasa zipo ndani ya tablet. Tulibeba kalamu, rula penseli na kifutio, questionnaires as enumerators. Sasa wanabeba tablets........
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
......
Unabwabwaja tu kijana.Kiukweli sijajua wanaoratibu zoezi la sensa uwezo wao wa kufikiria na kufanya kazi ukoje ,imagine tokea mwaka mzima watu wanafanya maamdalizi ila hakuna kilichofanikiwa mpka leo tofauti na promotion.
Mfumo bado haukakaa stable tablet zao majanga sidhani kama kwenye idara ya IT kulikuopo na mafunzo ya kujitosheleza au research kuhusu vifaa gan vitafanya kazi na mfumo .
Serikali ijiandae kupoteza data nyingi kutokana na mambo yanavyoenda .Sijui nani asimame kukemea uozo unaondelea .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Endeleeni kuipenda na kutufaidisha tulio wachache kwa ujinga wenu.ENDELEENI KUWA WAZALENDO IPENDENI TANZANIA HATUNA NCHI NYINGINE TOFAUTI NA TANZANIA
Wajinga ndio waliwao.Tozo kwa maendeleo ya Taifa
Wanajua kutumia simu janja?Wangewaanda wajumbe wa nyumba 10 wao ndiyo walisimamie hili zoezi
Kwa kukusanya taarifa lingeenda vizuri tu
Ova
Unajifanya unajua wakati hujui kitu chochote kuhusu sensa ya mwaka huu. , mada imekuzidi hii ndio maana unadhani ninapo sema vifaa wewe unajua tablet tuu kwani nani asiyejua kuwa sensa ya mwaka huu wanatumia vishikwambi?Vifaa gani tena kama si tablets. Unataka wabebe na masanduku! Kitu hujui uliza. Zamani tulibeba EA maps, sasa zipo ndani ya tablet. Tulibeba kalamu, rula penseli na kifutio, questionnaires as enumerators. Sasa wanabeba tablets.
Watajua tu...hkn kinachodhindikana kwa mwanadamWanajua kutumia simu janja?
Wajumbe wa Nyumba 10 hawanaga SIRIWangewaanda wajumbe wa nyumba 10 wao ndiyo walisimamie hili zoezi
Kwa kukusanya taarifa lingeenda vizuri tu
Ova
Acha hasira.Au wewe ni mmoja wa waliozipiga hela za sensa?.Ebu eleza vtu vizur acha ushabiki toa maelezo yene kueleweka na wasio jua wajue nn ttzo
Ela za chakula shingap walipaswa kupewa na wamepewa kias gan?
Pesa za posho na kaz nzima ya sensa walipanga walipwe kias gan na wamelipwa vp
Vitendea kazi ambavyo vinaitajika na havijapatikana ni vp ambavyo mawakala wanalalamikia
Tuache chuki za hovyo na km kuna ttzo sehemu tulieleze sio kuongea kishabiki
Sensa inafanyika Tz nzima mnataka kutwambia pesa ya chakula anayopewa mtu wa singida ni sawa na yule wa Arusha
Je malipo ya wakala wa Mtwala ni sawa na malipo ya mtu wa Dar es salaam