Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,120
- 817
Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa
1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006
2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana
3. Nakumbuka habari nyeti mno za ndani toka serikalini ulikuwa unazipata za moto moto toka hapa
4. We dare to speak openly
5. Issues za ufisadi zilianzia hapa
6. Akina Dr. Slaa na wanasiasa wengine machachari walikuwa active hapa
7. Siwezi sahau FieldMarshal (Sauti ya umeme) alivyo ingiza mjini watu hapa anataka awapeleke ulaya na amerika maana ana connection kule. Watu wengi wakajitokeza. Nadhani with time kumbe ndo Lemutuz mwenyewe
8. Nakumbuka mengi sana ingawa mm si mwandikaji ni msomaji zaidi, nimeelimishwa sana na JF
9. Kuna kipindi tulichangia michango ya hela kuifanya JF iwe live na kununua space sijui saver huko nchi za mbali
10. Nakumbuka kutiwa mbaroni kwa Max the founder watu wakaanza tafuta habari mpaka akaachiwa
11. Ziko mambo mengi sana nimepata hapa......
Watu Maarufu kwa maoni yangu enzi hizo ninaowakumbuka kwa nondo:
Mzee Mwanakijiji, Nyani ngabu, Mwiba, Field Marshal ES, Next Level, Mwanajamii one, King'ast, Yo yo, women of substance, Kaizer, FairPlay, Blueray, Masanilo, Semilong, Kituko, Manitoba, BK, Caroline Danzi (huyu alliliwa $300 za no 7 hapo juu hahaa) etc etc