Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Miaka 10 Natimiza Leo JF nakumbuka haya

Shapu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2008
Posts
2,120
Reaction score
817
Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa
1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006
2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana
3. Nakumbuka habari nyeti mno za ndani toka serikalini ulikuwa unazipata za moto moto toka hapa
4. We dare to speak openly
5. Issues za ufisadi zilianzia hapa
6. Akina Dr. Slaa na wanasiasa wengine machachari walikuwa active hapa
7. Siwezi sahau FieldMarshal (Sauti ya umeme) alivyo ingiza mjini watu hapa anataka awapeleke ulaya na amerika maana ana connection kule. Watu wengi wakajitokeza. Nadhani with time kumbe ndo Lemutuz mwenyewe
8. Nakumbuka mengi sana ingawa mm si mwandikaji ni msomaji zaidi, nimeelimishwa sana na JF
9. Kuna kipindi tulichangia michango ya hela kuifanya JF iwe live na kununua space sijui saver huko nchi za mbali
10. Nakumbuka kutiwa mbaroni kwa Max the founder watu wakaanza tafuta habari mpaka akaachiwa
11. Ziko mambo mengi sana nimepata hapa......

Watu Maarufu kwa maoni yangu enzi hizo ninaowakumbuka kwa nondo:

Mzee Mwanakijiji, Nyani ngabu, Mwiba, Field Marshal ES, Next Level, Mwanajamii one, King'ast, Yo yo, women of substance, Kaizer, FairPlay, Blueray, Masanilo, Semilong, Kituko, Manitoba, BK, Caroline Danzi (huyu alliliwa $300 za no 7 hapo juu hahaa) etc etc
 
Baadhi ya ninayokumbuka na mambo mazuri toka hapa
1. Email toka kwa nisiyemfahamu kutaka nijiunge Jambo Forum mwaka 2006
2. Enzi ambapo Invisible alikuwa maarufu sana
3. Nakumbuka habari nyeti mno za ndani toka serikalini ulikuwa unazipata za moto moto toka hapa
4. We dare to speak openly
5. Issues za ufisadi zilianzia hapa
6. Akina Dr. Slaa na wanasiasa wengine machachari walikuwa active hapa
7. Siwezi sahau FieldMarshal (Sauti ya umeme) alivyo ingiza mjini watu hapa anataka awapeleke ulaya na amerika maana ana connection kule. Watu wengi wakajitokeza. Nadhani with time kumbe ndo Lemutuz mwenyewe
8. Nakumbuka mengi sana ingawa mm si mwandikaji ni msomaji zaidi, nimeelimishwa sana na JF
9. Kuna kipindi tulichangia michango ya hela kuifanya JF iwe live na kununua space sijui saver huko nchi za mbali
10. Nakumbuka kutiwa mbaroni kwa Max the founder watu wakaanza tafuta habari mpaka akaachiwa
11. Ziko mambo mengi sana nimepata hapa......
Sawa muhenga
 
Ni wakati sasa kuendelea kufanya tathimini ya kwamba JF ya Tanzania ya leo inafaa iweje?.
Wakati huo tukirejea nini mchango wa JF kwa miaka 10 iliyopita!
 
Ivi E-mail zenu walizipata wapi? Walikua na uwezo wakuingia kwenye sever za google kuchukua E-mail za watu?

Embu nipe majibu muhenga

Cc Shapu
 
Hongera mkuu hongera sana
 
Ni wakati sasa kuendelea kufanya tathimini ya kwamba JF ya Tanzania ya leo inafaa iweje?.
Wakati huo tukirejea nini mchango wa JF kwa miaka 10 iliyopita!

Wakati huo hizi sheria za ajabu ajabu kama cyber crime etc hazikuwepo. Halafu pia facebook, instagram na ma blog havikuwa vimeshika kasi. JF ilikuwa ndo kila kitu. Unapata vitu kutoka jikoni moja kwa moja. Na JF nadhani ndo ili trigger kuanzisha hizi sheria. Kwa ujumla JF ili shape how the country should be governed in my opinion. Vitu vingi hata mwelekeo wa nini Serikali ibadili hata changes kwenye baraza la mawaziri ilitegemea infos from JF. Wakati ule kuna yule Jamaa Mwanakijiji MM alikuwa moto wa kuotea mbali. Huyu wa sasa sijui imekuwaje....
 
Ivi E-mail zenu walizipata wapi? Walikua na uwezo wakuingia kwenye sever za google kuchukua E-mail za watu?

Embu nipe majibu muhenga

Cc Shapu

Kwa kweli hata mimi bado mpaka leo siji waliwezaje pata email za watu wengi hivyo. It was around mid 2006 ama 2007 ndo nilipata email but sikujiunga mpaka 2008, nilikuwa nasoma tuu. But those guys behind hii kitu JF ni exceptional, very exceptional asikuambie mtu. Enzi hizo you could tell maana mazingira nayo yalikuwa ya hatari sana.
 
Wakati huo hizi sheria za ajabu ajabu kama cyber crime etc hazikuwepo. Halafu pia facebook, instagram na ma blog havikuwa vimeshika kasi. JF ilikuwa ndo kila kitu. Unapata vitu kutoka jikoni moja kwa moja. Na JF nadhani ndo ili trigger kuanzisha hizi sheria. Kwa ujumla JF ili shape how the country should be governed in my opinion. Vitu vingi hata mwelekeo wa nini Serikali ibadili hata changes kwenye baraza la mawaziri ilitegemea infos from JF. Wakati ule kuna yule Jamaa Mwanakijiji MM alikuwa moto wa kuotea mbali. Huyu wa sasa sijui imekuwaje....

Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!. Alikuwa na mgombea wake mfukoni! Alipoingia kwenye kapu sahihi naye kaona ale bata tu.🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂= Wasubiri grisi (Wapiga Kura)
 
Back
Top Bottom