Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Siku zinakwenda hazigandi.
Naona kama vile ni juzi juzi 1/8/2007 nilipojiunga na Mtandao wa JamboForums ambao kwa sasa ni Jamiiforums.
Shukrani za pekee zimuendee Nova Makunga ndie aliyenihamasisha kujiunga na www.jamboforums.com.
Kwa kipindi kinachoelekea kufikisha miaka 10 humu nimefahamiana na watu wengi, wazuri na wengine wa "hovyo hovyo"
Katika mtando huu www.jamiiforums.com nimeona wana uwezo wa kufanya mambo mengi, pia kuna mapungufu mbalimbali, wana fursa mbalimbali na hata matishio mbalimbali.
Mungu ibariki Jf, Mungu wabariki members wake wenye akili timamu, Mungu mbariki mwanzilishi wa JF.
JF sitoki ng'oooo
Hongera Sana Mkuu..Siku zinakwenda hazigandi.

Ahsante mzee wa WimaHongera Sana Mkuu..
Ahsante sanaKweli umekula chumvi Jf.
Hongera mkuu
Ahsante mtani wangupole aisee
Ahsante mkuu.Karibu sana NAHUJA [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji257]
Unataka unifungie pm jamani?Shoga heb nielekze na mie niifunge yangu
Mbona tunaambiwa ilianzishwa 2006?, hiyo 90 vp tena?Wewe mgeni ndio maana hujui Mimi nipo toka 1990 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hamn shog angu najihamUnataka unifungie pm jamani?
Mimi ni shemejiyoHamn shog angu najiham
Jamni nilijua linamo vip hiy avatarMimi ni shemejiyo
Love run JFJamni nilijua linamo vip hiy avatar